Wanavyuo wa leo hawajitambui au mambo yao yapo vizuri sana vyuoni kuliko miaka ya nyuma?

Wanavyuo wa leo hawajitambui au mambo yao yapo vizuri sana vyuoni kuliko miaka ya nyuma?

Kuna wahindi liliwah wakuta jambo,walianzisha chuo cha kutoa degree afu wakachezea mfumo wa uchaguz wa vyuo,yaan vyuo vingine vikawa havina nafas cha kwao ndo kikawa kina nafas,

Walifanikiwa kupata wanafunz wengi tu lakin chuo chao hakikuwa na mazingira mazuri pia walimu wao hasa wa kihindi hawakukiz vigezo

Wanafunz walijiogarnize na waliwapelekea moto sana wale wahindi mpaka kufikia serikal kuamua kuwachagulia vyuo vingine wakasome lakin pia walifikishwa mpaka mahakan
Kwani ungekitaja hicho chuo , ungepata hemorrhoids.?
 
Ni nadra sana hata kusikia hao wahadhiri wa vyuo vikuu kuleta hoja chanya zinazoweza kuipa challenge serikali ....Taifa limekufa, there is no future, there is no hope, it's over
1000012671.jpg
 
w
Miaka ya nyuma kidogo kulikua na kashikashi sana katika vyuo vya elimu ya juu nchini hasa vya serikali...
Nakumbuka niliwahi kuhudhuria mdahalo pale nkruhma hall UDSM nikiwa mwanafunzi wa kidato cha tano makongo na mdahalo huo ulikuwa umeandaliwa na Tahliso chini ya Julius Mtatiro.

Lakini pia nikiwa mwanafunzi pale UDOM mwanzoni mwa miaka ya 2010 harakati za kudai mazingira mazuri ya kusoma ikiwa ni pamoja madai ya kuongezwa kwa pesa ya kujikimu na special faculty allowances yalipamba moto mpaka serikali ikasalimu amri na kuongeza pesa hiyo.

Lakini pia harakati za siasa na kijamii zilikua za moto sana,ilifikia hatua mpaka UDOM pakawa pamoto kwa viongozi wa kisiasa achilia mbali harakati UDSM na vyuo vingine vijana wasomi walikua na uthubutu wa kuhoji na kudai haki zao na za jamii kwa ujumla.

Leo hii kizazi hiki kipo kimya kwa kila jambo iwe mambo ya kisiasa,kijamii kama ukosefu wa ajira na mengine..
Vijana hawahoji,hawajadili na sana sana

Ni mwendo wa kubeti,kutafuta nguvu za kiume ili mishangazi ikae kwa kutulia na sana sana kunywa visungura
ITS A WAKE UP CALL taifa lisilo na vijana jasiri wenye uwezo wa kuhoji,kujadili na kuleta suluhu ya changamoto ni Taifa mufilisi
wanafunzi wa vyuo wa sasa uwezo wao wa akili ni mdogo. hawana critical thinking. wakikopeshwa boom wanaona wamemaliza.

elimu imechakachuliwa sana.
 
Back
Top Bottom