Wanavyuo wa leo hawajitambui au mambo yao yapo vizuri sana vyuoni kuliko miaka ya nyuma?

Kwani ungekitaja hicho chuo , ungepata hemorrhoids.?
 
Ni nadra sana hata kusikia hao wahadhiri wa vyuo vikuu kuleta hoja chanya zinazoweza kuipa challenge serikali ....Taifa limekufa, there is no future, there is no hope, it's over
 
w wanafunzi wa vyuo wa sasa uwezo wao wa akili ni mdogo. hawana critical thinking. wakikopeshwa boom wanaona wamemaliza.

elimu imechakachuliwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…