CHAMVIGA
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 7,687
- 2,240
HABARI WANAJUKWAA.
Kwa wale wanafunzi mliopo vyuo vikuu kuna ustaarabu ambao umeenea kwakasi kubwa sana katika miaka ya karibu ukilinganisha na wakati wa miaka iliyopita.
Wanafunzi kama tunavyofahamu wapo mavyuoni purposeful for learning na tunafahamu nafasi na jinsi mtu anapokuwa anapossess degree katika jamii yetu ya kitanzania inavyomchukulia, ila chakushangaza jambo kubwa lililowashika wanafunzi wetu wa leo vyuoni ni kulala na kuzurura.
Je kwa wale wenye experience ima waliomaliza vyuo vikuu hali ilikuwaje?
Wewe ulioko chuoni kwasasa hali ikoje hapo chuoni kwako?
Uwezo wa graduates wetu wa leo mbona hata kujiexpress wenyewe hawawezi, tatizo nini?
Pia ma lecture wetu vipi uwezo wao katika ufundishaji au ndo miongoni mwa sababu za kushuka kiwango cha uwezo wa wanataaluma wetu.?
Akhsanteni.