Wanavyuo wetu vipi tena? Au ndo kizazi cha dotcom?.

CHAMVIGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
7,687
Reaction score
2,240
HABARI WANAJUKWAA.
Kwa wale wanafunzi mliopo vyuo vikuu kuna ustaarabu ambao umeenea kwakasi kubwa sana katika miaka ya karibu ukilinganisha na wakati wa miaka iliyopita.
Wanafunzi kama tunavyofahamu wapo mavyuoni purposeful for learning na tunafahamu nafasi na jinsi mtu anapokuwa anapossess degree katika jamii yetu ya kitanzania inavyomchukulia, ila chakushangaza jambo kubwa lililowashika wanafunzi wetu wa leo vyuoni ni kulala na kuzurura.
Je kwa wale wenye experience ima waliomaliza vyuo vikuu hali ilikuwaje?

Wewe ulioko chuoni kwasasa hali ikoje hapo chuoni kwako?

Uwezo wa graduates wetu wa leo mbona hata kujiexpress wenyewe hawawezi, tatizo nini?
Pia ma lecture wetu vipi uwezo wao katika ufundishaji au ndo miongoni mwa sababu za kushuka kiwango cha uwezo wa wanataaluma wetu.?
Akhsanteni.
 
Hatari tupu. Hawajihangaishi kutafuta maarifa zaidi
Wapenda starehe kupita uwezo wao wa kuzimudu
Kwa wasichana - Mahusiano kadhaa, kuchuna likiwemo

Kupenda kukopi na si kushughulisha akili.

Kwa Wakufunzi/Wahadhiri - Jeuri ya ya Elimu waliyoipata inawafanya kujiona wao ni Miungu wadogo
Kuonea au kupendelea wanafunzi wao
Vyuo kutokuwa na utaratibu mzuri wa Kuwa- groom Wakufunzi ili wawe na uwezo mkubwa kwenye ufundishaji
na utafiti
Matumizi ya Teknolojia (hasa internet) imewafanya kuchukulia mambo kirahisi sana, hawaweki muda wa
kutosha kujisomea na kutafuta mbinu mpya za kufundisha. Nimeshawaona kama wawili wakitumia utaratibu
wa ku-google maswali halafu copy & paste.

Kubwa kuliko yote Maandalizi ya Wanafunzi huko chini (shule ya Msingi/Sekondari) ni mabovu, na mduara
unarudi palepale - Mwanachuo wa leo ndiye Mkufunzi/Mhadhiri wa Kesho.

Na inaendelea........................
 
Mkuu hapo kwenye internet kiukweli kuna adhari kubwa sana kwakuwa siku hizi mwanafunzi anaweza kuwepo class na asichukue note yeyote kutoka kwa mkufunzi akitegemea google kwahiyo utawakuta wengi wanaweza maliza masoma library kaingia mara chache sana ima hakuwa ingia kabisa.
Upendelea mimi kwa maoni yangu ni tatizo la muda mrefu sio geni ila limeongezeka kasi kwa zama hizi na sababu ya msingi ni kuwa na wakufunzi wengi vijana.
 
suala la kuzurura mtaani au kulala sana ni kwa sababu wengi wao hawana kazi. Hapo nyuma waliokuwa wanahitimu chuo kikuu karibia wote walikua wanapata kazi.
Uwezo wa wahadhiri mimi sidhani kama umepungua ,bali pengine ni kukata tamaa na mwenendo mzima wa kazi. Mfano mtu unaanza mwaka wa kwanza mpaka wa mwisho kila siku lecturer analalamika kwamba serikali haileti pesa kwa ajiri ya chemicals na vifaa vingine vya mahabara, kwa hiyo huyu lecturer analazimika kufundisha nadhalia tu ambayo ni ngumu zaidi kueleweka kwa wanafunzi wote. Anachokifanya ni kujaribu kutowafelisha wanafunzi hawa ambao hawana hatia. Mimi binafsi nadhani huu ndo wakati muafaka wa serikali yetu kuipa kipaumbele elimu yetu ikiwa ni pamoja na kuwathamini hawa wahadiri ili waeke nguvu zao zote tkt kufundisha waa sio kuingia kwenye biashara zingine ambazo wanalazimika kuzifanya kwa sababu tu hakuna fedha za research zinazotumwa chuoni.
 
Uvivu wa kulala na kuzurura wakati wapo chuoni au wakiwa masomoni si baada ya ajira.
 
Kulala chuoni inategemeana na ratiba yako ikoje. Mfano mimi nilikua nasoma mpaka usiku wa manane kama najua kesho yake kipindi kinaanza saatatu au nne.Hivyo nilikua nachelewa kuamka. Pia kumbuka kila mtu ana malengo yake awapo chuoni, wengine ili mradi tu asidisco wengine wanatafuta first au second class
 
Hapa ndio panaponipa tabu haiwezekani wewe upo chuoni unamaliza na first, second upper au lower class halafu unarudi mtaani hata kwenye interview unafeli, tatizo liko wapi mbona brother and sister's wa miaka ya 2000 kurudi nyuma wako vizuri sana ukilinganisha na product ya miaka hii? Je huu ni uzembe wa wanafunzi ikiwa ni pamoja na uvivu au ni mfumo wetu wa elimu?
Mfano mzuri ni wahitimu wa ualimu vyuo mbalimbali wanavyoshindwa kuendana na level ya elimu yao.
 
Hapo ndo linakuja suala la uwezo binafsi sasa. sio lazima wote wawe na uwezo sasa wa kujieleza. Na ndo maana siku hizi mtu akipata divIII au II anaenda chuo,kitu ambacho hakikuwepo hapo awali kwani wngi wao walikua wanapata div I ndo wanachaguliwa kwenda chuo kikuu. So lazima tofauti ziwepo kwenye jamii japo wengine wamekithiri yaani mtu kamaliza chuo kikuu lakini uwezo wake ni mdogo kupindukia
 
Nakumbuka kauli moja ya Mwl nyerere katika kitabu chake 'EDUCATION FOR SELF RELIANCE' anasema university education should prepare a students for saving the society sasa najaribu kuhusianisha maneno haya na aina ya wasomi au product ya wasomi wetu wa kileo.
Kama mtu anashindwa kujieleza mwenyewe na kuweza jenga hoja ni jamíi gani ataenda kuisave mtu huyu.
Bila shaka mfumo wetu ni mbovu sana.
 
Pamoja na mfumo wetu kua mbovu, bado swala la juhudi binafsi lina nafasi yake tena kubwa tu.Mimi ni Graduate wa kileo na nina uwezo mzuri wa kujieleza na kufanya kazi vizuri ktk profession yangu. Hapa napingana na generalization yako kwamba siku hizi Graduate hamna kitu
 
Hivi visomo ni miaka hiyoo
Sasa hiva ni maigizo tuuu
 
Hivi visomo ni miaka hiyoo
Sasa hiva ni maigizo tuuu

Hao visomo wamefanya nin? Cha ajabu au unamaanisha wale wa kufaulu tu mitihani..maana sijawahi ona kama hao visomo wamefanya impact yoyote ile katika jamii yetu..si hao maprof wa first xlass or whatever yan
 
Mmmh............
 
Umeniacha kaka.
 
Kama bongo lala utakesha sana na unapata makarai sana,chuoni kila mtu ana ratiba zake,wakati unaolala me ndo nasoma,wakati unatafuta mpenzi me ndo napiga kibuti,kuzurura haimaanishi mtu hasomi,mfano me sku ingine kipindi1,nina kozi4 Wewe una9,unaiga
 
Mh hii kali bwana.
 
Unajua chuo kku kila mtu ni mtu mzima,ndo mana hakuna parade,mwalimu wa nidhamu,kama hujui kilichokuleta hapa msee,utakunywa supu sana,utazalishwa sana,utachunwa mno,utafundisha tuition mashe sana,utapiga sana ximu,Set your self free and uhuru ukizidi ni u
 
Back
Top Bottom