Wanawake 50% kwa 50% tumedandia trneni kwa mbele, tujipange upya..

Wanawake 50% kwa 50% tumedandia trneni kwa mbele, tujipange upya..

acha wewe, siku hizi wanawake wanalea wanaume, ndo wanalipa ada za watoto, wanahakikisha msosi upo mezani! Wanaume wao wanaweka heshima bar na kutunza small house
anyway mgawanyo wa majukumu ndani ya nyumba inategemea na makubaliano yenu, wanawake wanashiriki kwa njia mbalimbali siku hizi ingawa inaweza isifike 50% kama unavyosema

Dah! hayo maneno in red yamenigusa sana! God forbid!
 
kufika mtafika ila jamaani wengine hata kupika ka-msosi hajui anzie wapi?
 
Wanaume na sisi tunatakiwa tuwe informative kwa wake zetu nyumbani. Wanawake wengi sana hawajui information ambazo ni haki kwao. Kwa mfano, wanawake wengi hawajui wanaume wao wanaingiza vipato gani kwa mwezi, na wengine hata kama wanajua, hawana access na hizo funds. In order to move forward as one, Lazima wote mkae pamoja, lazima mkubaliane, na lazima muwe na malengo yanayofanana, kwamba mwezi au mwaka huu malengo yetu ni a, b, c, Tatizo ni kwamba wanaume wengi tuna preach maisha magumu na kufunga mkanda nyumbani, tukiwa bar tunakuwa akina 'Donald Trump". we all have to be in the same page.
Sio mmoja kazi yake ni ku save mwingine ku shop, sio mmoja kutoa kwa siri kwa ndugu na mwingine kuhonga bar maids. Na waume kama wewe ni bread winner, jua kwamba mkewe uliyemwacha nyumbani na watoto mchango wake ni mkubwa. Mara kwa mara umkumbuke spouse wako kwa zawadi...sio lazima ziwe kubwa, its the intent that matters, usisubiri mpaka siku unashikwa ugoni ndio unatoa zawadi ku cover face.
 
JAmani wanaume muelewe,mwanamke matunzomwanamke kuremembekamwanamke ku receive cha mume mwanamke ifikapo alhamis mambo ya "continental" khanga moja ndembendembe...mwanamke bia za kununuliwa raha .....mwanamke mguu juu , kuchonga kucha , bandika kope, ..... kuvaa dira na mengineyo ..akiwa mkeo wa ndani hayo matumizi unayaona anasa ila kwa mahawara mnatoa lol na usawa tunataka familia mtalea sana na No kucheck DNA ---nawakilisha pande za kaskazini---------semeni sasa
 
Ulipaswa kuish Msoga c kaskazin

There is no equal right between man an woman!Do u know why?There not equal!
 
Its too headache tena hawa wanamaliza shule na kupata kazi haraka haraka, anasahau kama kuna maisha bila hela!! Akifikisha 32 hadi 35 anaanza kulia lia oooh nataka kuolewa nipate familia hapo walishachezea mashine mpaka basi huku akiwa busy kutafuta hela na kuweka mambo ya 50% by 50%.

1) Hiyo niliyokuwekea nyekundu ungeandika "Its a headache" au "its a big headache" inge sound vizuri zaidi.

Tafadhali usione vibaya, tena ni vizuri ukawa unaandika kiigereza mara kwa mara ili kama tuna uwezo tunarekebishana itakuongezea ufahamu wa hiyo lugha.

Halafu hauioni faida ya wanawake?
 
ndoa zidumuzo ni zile ambazo wanawake wamekubali kuwa wanawake na hawataki mashindano na waume zao.Yaani wanatambua ukuu wa mwanaume katika familia zao.Wapi 50 percent hapo?
 
Baja pa kuishi si ishu nipeleke kokote ila ... mwanaume awajibike kulea familia. stop
 
FAiza bana lol .. eti umesahihisha lugha mwisho unamalizia huoni umuhimu wa wanawake ahahhaha jf is full of funny
 
umenena yote yaliyopaswa kunenwa

Wanaume na sisi tunatakiwa tuwe informative kwa wake zetu nyumbani. Wanawake wengi sana hawajui information ambazo ni haki kwao. Kwa mfano, wanawake wengi hawajui wanaume wao wanaingiza vipato gani kwa mwezi, na wengine hata kama wanajua, hawana access na hizo funds. In order to move forward as one, Lazima wote mkae pamoja, lazima mkubaliane, na lazima muwe na malengo yanayofanana, kwamba mwezi au mwaka huu malengo yetu ni a, b, c, Tatizo ni kwamba wanaume wengi tuna preach maisha magumu na kufunga mkanda nyumbani, tukiwa bar tunakuwa akina 'Donald Trump". we all have to be in the same page.
Sio mmoja kazi yake ni ku save mwingine ku shop, sio mmoja kutoa kwa siri kwa ndugu na mwingine kuhonga bar maids. Na waume kama wewe ni bread winner, jua kwamba mkewe uliyemwacha nyumbani na watoto mchango wake ni mkubwa. Mara kwa mara umkumbuke spouse wako kwa zawadi...sio lazima ziwe kubwa, its the intent that matters, usisubiri mpaka siku unashikwa ugoni ndio unatoa zawadi ku cover face.
 
1) Hiyo niliyokuwekea nyekundu ungeandika "Its a headache" au "its a big headache" inge sound vizuri zaidi.Tafadhali usione vibaya, tena ni vizuri ukawa unaandika kiigereza mara kwa mara ili kama tuna uwezo tunarekebishana itakuongezea ufahamu wa hiyo lugha.Halafu hauioni faida ya wanawake?
Thank you Ms FF. I guarantee you my broken english. By theway, I love to have one woman (wife) and the only only one for my life. How? Well its a big challenge these days.
 
Hakuna 50 kwa 50,maisha ni kusaidiana,Adam aliambiwa nitakufanyia msaidizi.
 
mwanaume ni kichwa cha familia hela ninayo ila contribution ya 50%50% siiwezimwanamke matunzo babukwanza ukitaka mwanamke uonekamne mbaya ingilia mambo ya nyumba ukitaka usawa na mwanaume? weeeeeeeeeenitamsaidia pale anapokwama babu
 
Back
Top Bottom