Wanawake 50% kwa 50% tumedandia trneni kwa mbele, tujipange upya..

mwanamke anachangia pato kubwa katika familia kuliko mwanamme. Hivi ulishajiuliza valuation ya unpaid duties inafanyikaje?
Kusafisha ndani, kupika, kulea watoto, kuwanyonyesha, kubeba mimba ndani ya tumbo lake, kulea mume n.k. Hivi vyote vikiwekwa kwenye monetary value unadhani itafikia vijichenji vyako unavyoleta nyumbani?
 
eti wanataka tuchangie na mifuko ya cemeny na malori ya mchanga na bati hii ni haki kweli?
 
eti wanataka tuchangie na mifuko ya cemeny na malori ya mchanga na bati hii ni haki kweli?
Wakati wao ndo waliambiwa watakula kwa jasho,sisi tutazaa kwa uchungu,XY not=XX
 
Wakati wao ndo waliambiwa watakula kwa jasho,sisi tutazaa kwa uchungu,XY not=XX
eti na bado wanataka heshima ukitaka kujua heshima ya mtu ipo wapi wewe mjali sasa kama mwanamke unacontribute kila kitu ndani kila kitu upo heshima itakuwepo jamani?
 
Mi hata sielewi, haya mambo ya ndoa hayana fomula.
Wanandoa watakavyoamua kuyapeleka ndo ivo ivo, hakuna kuiga
Wanawake wengine wanapenda mabushoke, wengine wanapenda machomen, wengine twapenda wavuta ganja
Wanaume wengine wanapenda wanawake wenye mihela imejaa kwenye kiroba, wengine wanapenda pika pakua.

Huu mziki ni kucheza upendavyo.

50/50 sio mbaya kama mwanamke anayepewa madaraka ana uwezo wa kuimudu hiyo nafasi hata kama ni ndani ya familia plus katika kazi, tatizo huanza kama vigezo na masharti ya nafasi hiyo vilizingatiwa, unakuta kabobosukari kamepewa kitengo nyeti kisa shadow au lipstik yake nzuri.

It is what it is.....
 

Then how do you determine 'haki sawa kwa wote'?? This question has made me strongly disagree with your explanations!!!
 
Kweli kabisa. Wanawake wengi pesa zao zao kwa matumizi binafsi ila za wanaume wao ndio za kuhudumia familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…