Wanawake acha uchoyo wa nanii, asema Mpoki

Wanawake acha uchoyo wa nanii, asema Mpoki

venchwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2016
Posts
1,677
Reaction score
1,596
Wasichana hii tabia yenu ya kwenda kwa boyfriend wako huku umevaa pedi za Angels normal na kuzipaka tomato si nzuri.
Eti unasingizia upo kwenye siku zako muache hii tabia
KUNA mwenzenu huku kakosea kupaka badala ya kupaka tomato kapaka chill
Hapa Alipo anapiga kelele hajitambui.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

uchoyo bhna
 
Hehehehe!! Duh maskini...

Lakini ni kweli kuna mademu wa hivyo? Eti anavaa pad na kuweka tomato, jamani mjini hakufai siku hizi dunia imeisha...
 
na nyie mjiangalie kwanza kabla hamjakagua chupi zetu tafadhali?
wengine hamfai kupewa ni wa kuchunwa tu
 
Back
Top Bottom