Sawa jirani nimekusamehe [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] samahani jirani
Utakuta mwanamke unajitutumua kwa nguvu zote ili aonekane ni wa ghali au wa garama wakati wanaume hata hawajui tofauti kati ya Brazilian hair na manyoa ya kondoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HellowHapana usije, hakuna njia mkuu