Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Sivai.vaa uhusika then uje ucomment upya
sijakataa bt nyie wanawake mda mwingine mdhibiti tamaa zenu, yaani unamvulia house boy then awaambie rafikize huoni nikumtia aibu mumeoHouse boy ni cheo tu lakin ni binadam pia
basi vua.Sivai.
Kweli unakuta houseboy anampa mkeo attention kuliko ww mme, huoseboy yupo tayar kuacha shughuri zake kumsikiliza boss wake ambae ni mkeo wakit ww unajidai upo busy. hapo lazma tuibiwe tuTatizo mnajifanya kua bize na kusaka pesa hata neno nakupenda wake zenu hawalipati
As you know wanawake wanapenda Attention na Uwepo wako moyoni mwake
sijakataa bt nyie wanawake mda mwingine mdhibiti tamaa zenu, yaani unamvulia house boy then awaambie rafikize huoni nikumtia aibu mumeo
Natumai hamjambo wakuu.
Wanawake acheni kujidhalilisha, hivi mnakosa nini hata mnaamua kuwatunuku papa ma-house boy waliopo majumbani mwenu ajili ya kuangalia mifugo na usafi wa mazingira.
Jana nimeitwa kwa jirani kusuluhisha ugomvi wa aina hii, mwanamke anaulizwa na mumewe kipi anakosa hata ajidhalilishe hivo? yupo kimya tu hana jibu, yule bwana akamwambia bora amcheat na mtu mwingine kuliko house boy.
Kama ilivokawaida ya binadam akikosea humsingizia shetani yule mwanamke alimsingizia shetan kampitia akaomba msamaha.
Kamwe sitowahi fuga kwangu ma-house boy coz akili za wanawake hua wanazijua wenyewe
Hongera kwa kuwa msuluhishi wa ndoa za watu ☺️Natumai hamjambo wakuu.
Wanawake acheni kujidhalilisha, hivi mnakosa nini hata mnaamua kuwatunuku papa ma-house boy waliopo majumbani mwenu ajili ya kuangalia mifugo na usafi wa mazingira.
Jana nimeitwa kwa jirani kusuluhisha ugomvi wa aina hii, mwanamke anaulizwa na mumewe kipi anakosa hata ajidhalilishe hivo? yupo kimya tu hana jibu, yule bwana akamwambia bora amcheat na mtu mwingine kuliko house boy.
Kama ilivokawaida ya binadam akikosea humsingizia shetani yule mwanamke alimsingizia shetan kampitia akaomba msamaha.
Kamwe sitowahi fuga kwangu ma-house boy coz akili za wanawake hua wanazijua wenyewe
Unajua kila mchepuko una sababu zake,wake zetu,wanapata urahisi sana kutembea na ma hausi boi kwakuqa wapo karibu na na ni vigumu kuelewaka haraka,na mara nyingi hao mahusi,shughuli zao huwa sio mchezo,vivyo hivyo na sisi wanaume mara nyingi tunachepuka na mahausi geli,na sababu zipo nyingi tu.Zinaa....
aibu gani? kwani house boy sio mtu? hizo ni siri za ndani huyo rafiki ako ndo kajitia aibu angefanya maamuzi kama mwanaume kmy kmy anakuita ili iweje sasasijakataa bt nyie wanawake mda mwingine mdhibiti tamaa zenu, yaani unamvulia house boy then awaambie rafikize huoni nikumtia aibu mumeo
Umepata like nyingi za ma-house boy na waliotafunwa na ma-house boy kwa comment hii.House boy sio mtu?
House boy mostly ni vijana wenye afya kumzidi Baba mwenye nyumba
Sasa mtu mwenye akili ataulizaje swali unakosa nini?..
Hajui house boy ataweza kwenda kilomita nyingi kumzidi?..
Maswali mengine mbona majibu yapo wazi?
Hakuna msuluhishi hapa ni kahawa tu kama kahawa zingine.Uyo jamaa nae ni mgese anakuita usuluishe mini ningekua Mimi hapo namfukuza wife na House boy then life goes on
wanawake wa kibongo ni wachafu mno! asilimia 90 kama wana laana flani ya uzinzi na ukahaba!vaa uhusika then uje ucomment upya
Hizo ni kazi mbili tofauti, kukufanyia kazi za nyumbani hakumuondolei nafasi yake ya kufanya kazi mbadala ya kumburudisha mkeo...tena mshukuru kijana huyo maana kakusaidia majukumu akiwa karibu na kumwepushia mkeo safari zisizo za lazima kutafuta huduma mbali.Natumai hamjambo wakuu.