Wanawake acheni kujidhalilisha

Wanawake acheni kujidhalilisha

Kuna baadhi ya bongo kwa baadhi ya binadamu sisi inabidi zifanyiwe vipimo yakinifu kujua uwezo wake. Kama ni KB 5 au mb au GB na hata km Tb
Ni dhambi mwenye uwezo wa kb34 kufanya majukumu yenye kuhitaji GB 680

Hususani wale wote wenye majukumu mazito.

Yaani unakutana na kesi ambazo kiukweli kabisa hata ukimpelekea mtoto wa darasa la tatu anaweza kutolea maamuzi sahihi kabisa.

Ewe mola jaalia viumbe wako sisi tuongezeke maarifa na ufahamu yakinifu katka kupambana na changamoto za maisha yetu ya kila siku..
 
Tatizo mnajifanya kua bize na kusaka pesa hata neno nakupenda wake zenu hawalipati
As you know wanawake wanapenda Attention na Uwepo wako moyoni mwake
Kweli unakuta houseboy anampa mkeo attention kuliko ww mme, huoseboy yupo tayar kuacha shughuri zake kumsikiliza boss wake ambae ni mkeo wakit ww unajidai upo busy. hapo lazma tuibiwe tu
 
Natumai hamjambo wakuu.

Wanawake acheni kujidhalilisha, hivi mnakosa nini hata mnaamua kuwatunuku papa ma-house boy waliopo majumbani mwenu ajili ya kuangalia mifugo na usafi wa mazingira.

Jana nimeitwa kwa jirani kusuluhisha ugomvi wa aina hii, mwanamke anaulizwa na mumewe kipi anakosa hata ajidhalilishe hivo? yupo kimya tu hana jibu, yule bwana akamwambia bora amcheat na mtu mwingine kuliko house boy.

Kama ilivokawaida ya binadam akikosea humsingizia shetani yule mwanamke alimsingizia shetan kampitia akaomba msamaha.

Kamwe sitowahi fuga kwangu ma-house boy coz akili za wanawake hua wanazijua wenyewe

Dah jamaa umenisikitisha sana....yaani house boy ndio hastaili kula papuchi ama inakuwaje....kwa hiyo huyo mume angeona sawa tuu mwanamke kuhegedwa na njemba lenye mihela kuliko yeye sii ndio maana yake.

Alafu wanawake wakisema tunataka midume yenye hela mnawakandia...oh sijui mtazeekea manyumbani kwenu na mambo kibao.

Mwanamke papuchi ni yake ana haki ya kumpa yoyote atakaye kama vile mwanamume ana hakinya kumpa mgegedo yoyote atakaye.

Wanaume kwa ujinga wetu wenyewe ndio tunajiaminisha kuwa eti marriage certificate ndio inamfanya mtu asitoe papa....huonni ujinga.

Kinachomuuma jamaa hapo ni ego yake tuu...ya kwamba inaonekana shamba boy anagegeda vilivyo....pongezi kwake shamba boy...
 
Natumai hamjambo wakuu.

Wanawake acheni kujidhalilisha, hivi mnakosa nini hata mnaamua kuwatunuku papa ma-house boy waliopo majumbani mwenu ajili ya kuangalia mifugo na usafi wa mazingira.

Jana nimeitwa kwa jirani kusuluhisha ugomvi wa aina hii, mwanamke anaulizwa na mumewe kipi anakosa hata ajidhalilishe hivo? yupo kimya tu hana jibu, yule bwana akamwambia bora amcheat na mtu mwingine kuliko house boy.

Kama ilivokawaida ya binadam akikosea humsingizia shetani yule mwanamke alimsingizia shetan kampitia akaomba msamaha.

Kamwe sitowahi fuga kwangu ma-house boy coz akili za wanawake hua wanazijua wenyewe
Hongera kwa kuwa msuluhishi wa ndoa za watu ☺️
 
Zinaa....
Unajua kila mchepuko una sababu zake,wake zetu,wanapata urahisi sana kutembea na ma hausi boi kwakuqa wapo karibu na na ni vigumu kuelewaka haraka,na mara nyingi hao mahusi,shughuli zao huwa sio mchezo,vivyo hivyo na sisi wanaume mara nyingi tunachepuka na mahausi geli,na sababu zipo nyingi tu.
 
sijakataa bt nyie wanawake mda mwingine mdhibiti tamaa zenu, yaani unamvulia house boy then awaambie rafikize huoni nikumtia aibu mumeo
aibu gani? kwani house boy sio mtu? hizo ni siri za ndani huyo rafiki ako ndo kajitia aibu angefanya maamuzi kama mwanaume kmy kmy anakuita ili iweje sasa
 
Acha uboya wewe, kwani houseboy sio mtu acha dharau wewe,houseboy ni kazi tu kama kazi zingine. Nyie ndio mnaonyanyasa wafanyakazi wa nyumbani kisa standards.
Halafu aliyekudanganya mapenzi yanaangalia hadhi ni nani, demu wa Oysterbay anaweza akatoka kwao kwenye full AC kila mahali na akakimbilia kuishi manzese kwa msela tu wa geto mwenye kagodoro chini. Huyo jamaa hawezi mechi, mwanamke hata uumpe dunia kama kitandani huwezi kitu basi yeye ataishia tu kula pesa zako na kuzitumia kuwahonga wanaomkuna vizuri.
 
House boy sio mtu?
House boy mostly ni vijana wenye afya kumzidi Baba mwenye nyumba
Sasa mtu mwenye akili ataulizaje swali unakosa nini?..
Hajui house boy ataweza kwenda kilomita nyingi kumzidi?..
Maswali mengine mbona majibu yapo wazi?
Umepata like nyingi za ma-house boy na waliotafunwa na ma-house boy kwa comment hii.
 
Uyo jamaa nae ni mgese anakuita usuluishe mini ningekua Mimi hapo namfukuza wife na House boy then life goes on
Hakuna msuluhishi hapa ni kahawa tu kama kahawa zingine.
 
Natumai hamjambo wakuu.

Wanawake acheni kujidhalilisha, hivi mnakosa nini hata mnaamua kuwatunuku papa ma-house boy waliopo majumbani mwenu ajili ya kuangalia mifugo na usafi wa mazingira.

Jana nimeitwa kwa jirani kusuluhisha ugomvi wa aina hii, mwanamke anaulizwa na mumewe kipi anakosa hata ajidhalilishe hivo? yupo kimya tu hana jibu, yule bwana akamwambia bora amcheat na mtu mwingine kuliko house boy.

Kama ilivokawaida ya binadam akikosea humsingizia shetani yule mwanamke alimsingizia shetan kampitia akaomba msamaha.

Kamwe sitowahi fuga kwangu ma-house boy coz akili za wanawake hua wanazijua wenyewe
Hizo ni kazi mbili tofauti, kukufanyia kazi za nyumbani hakumuondolei nafasi yake ya kufanya kazi mbadala ya kumburudisha mkeo...tena mshukuru kijana huyo maana kakusaidia majukumu akiwa karibu na kumwepushia mkeo safari zisizo za lazima kutafuta huduma mbali.
 
no matter how i love her, nkimbamba akicheat she will be gone for good!!. sitasumbua mtu aje kusuluhisha.
 
Back
Top Bottom