Wanawake acheni kujidhalilisha

Japo mwandiko mbaya ..Ila nakubaliana na ww [emoji817] Ni ukweli mtupu ..
 
House boy sio mtu?
House boy mostly ni vijana wenye afya kumzidi Baba mwenye nyumba
Sasa mtu mwenye akili ataulizaje swali unakosa nini?..
Hajui house boy ataweza kwenda kilomita nyingi kumzidi?..
Maswali mengine mbona majibu yapo wazi?
Umeongea facts mkuu,
Penzi siyo pesa, anakosa kumfikisha panapo na h/ boy anayaweza mambo,
Ni hayo tu,[emoji380]
 
hata kama sio sababu ya kutembea na h boy, jiulize habari kama hiyo ivume kitaa aibu ile huoni kama ni kujidhalilisha bt akicheat na mtu mwingine si shida sana
Naye ni mwanaume, huyo jirani yako ilitakiwa ajiulize kapwaya wapi, maana wengi ni busy zisizo isha lakini ukiwakuta huko nje na vidosho kama si wao, nao huwa wanaona hivyo roho ikiota kutu basi

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Jirani umekuja kunitangaza huku?
Kweli binadamu hana siri.
 
House boy sio mtu?
House boy mostly ni vijana wenye afya kumzidi Baba mwenye nyumba
Sasa mtu mwenye akili ataulizaje swali unakosa nini?..
Hajui house boy ataweza kwenda kilomita nyingi kumzidi?..
Maswali mengine mbona majibu yapo wazi?
Hahaha haha.....
 
Hushindwa kujielewa mke katoka kwao kaacha kila kitu, alichofuata hapo akipate, sasa odooo viporo tu kila kukicha

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Wanaume wapunguze kua busy mkuu hizi kesi ndogo ndogo hazitakuepo,

Mwingine anahamishia na kazi za ofisini nyumbani kabisaa, amefanya kazi more than 8 hrs huko ofisini then anakuja na home package tena,!!!

Halafu mkisaidiwa majukumu mnalalamika,
NB: siyo wanaume wote wake zao wana sababu za kucheat,
 
Utasikia unakosa nini! Mke anajiulize hivi humu ndani nilifuata minofu ya samaki?
Au kuwa pazia la mlangoni, wake wengi huwa wanamezea tu sasa kama hana hofu ya Mungu ana anza kimya kimya tu

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Kuna kitu house boy anacho na mume wake hana, hata hivyo kusinzia kwa hadhira ni uzembe wa fanani
 
Unaanzaje kumuita mtu kusuluhisha ujinga km huo? Kuna watu wanaongezeka miaka tu
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…