Wanawake acheni kujidhalilisha

Wanawake acheni kujidhalilisha

Kaka nimechelewa kutoa comment lakin sio kivile kabla sijajibu swali lako **** maswali yatakuwepo pia unijbu naanza hvi
[emoji117]Wanaume wanao tembea n ma house girl wanakosa nini kwa wake zao?? au ndo tuseme ujawahi sikia hzo hbari ndo Mara ya kwanza kusikia za mwanamke kutembea na house boy?
[emoji117]Huyo house boy unaye msemea sio binadamu? Na sisi mkituita wenye tamaa na nyie tuwaiteje?
Anyway nakupa sababu Ila kwa maelezo kwanza kabsa hakna mwanamke anaye cheat bila sasa ila nyie mnacheat kwa tamaa zenu u never no maan hyo mwnamke mpk kufikia kmcheat mume wake wake kuna sababu alafu nyie wnaume sijui ata amjiongezagi unakuta mtu yuko busy na michepuko akirudi kwa mkewe yuko hoi ata nguvu za kumuudumia mkewe hana kasha choshwa uko ata akijitaidi kumpa mkewe kuna matatu kwenda dakika 2 chali au kumpa alafu ashundwe ata kumaliza kwa mchoko sasa nikuulize kwa mtu Kama hyo utamsaidiaje leo wewe umeshangaa kutembea na house boy wakati wnatembeaga adi na mashemeji ata Mimi siwezi kuvumilia nikusubiri nyumban mpka saa 6,7 urudi umechoka na sio siku moja siku ukinipa nijute kwa nini bora ningeacha tu wakat house boy yupo hapo na hana mtu kbsa mtoto watu anakaa na ugwadu wa miaka ata kumpa nafasi akatembee munashindwa na wewe uko busy na michepuko wahi nisiudumiwe ili ukirudi umechoka na Mimi nimechok burudani hakuna kelele maisha yanasoma hyaan majibu ya maswali yko yako wazi kabsa achana na mtu anaitwa mwanamke bro ujatujua vizuri yaan ushenzi mnao fanya nyie sisi tunaweza mara [emoji817] ya nyie tena manasubiri sasa anavo sema bora angemcheat na mtu mwingine huo muda anautoa wap ukute ata kutoka nyumbn anazuiliwa alfu hvi nyie mnazani kumpa kila kitu mwanamke ndo kushika moyo wake niwaibie siri pesa si kila kitu kwanye moyo wa mwnamke
Mwanamke anaitaji umcare nikisema kucare simaanishi kumuudumia tu maan ndo mnajua tu ilo
Mwanamke anaitaji mapenzi tena ya dhati hakikisha analigundua ilo sijui utatumia njia gan lakin hakikisha mkeo najua kuwa unampenda Sana
Kuna wanauem ata kusifia wake zao hajawai anytime anamuona kma kaona sijui nini ata apendeze vip hawezi kumsifia alafu aunategemea nini unazani atatembea anende mashineni arudi bil kusifiwa? Yaan majukum unayo takiwa kuyafanya wewe anayafnya mtu mwingine kwa nini usinyang'anywe aiseee
Pia tumia muda mwingi kumsikiliza mkeo,usjifanye we ndo baba sasa ata ukikosea unataka yeye akuombe msamaha unafeli,ukiwa kazini mjulie hali yaan hakikisha utoi nafasi ya mtu mwingine kuyafanya hayo kwa mkeo Mimi haya nayo kwambia nina ushuhuda nayo alafu Ni mwanamke pekee naaye weza kuacha nyumba magari Mali zote ata uziandike kwa jina lake kama hauna kalama ya kumcare mkeo bro unaachwa utashngaa anaolewa na muuza miwa anakuacha wewe CO wa kampuni ebu jifunzeni bhna mengi mnayasabisha nyie nitarudi badaae na adisi ili yangu mwenyew ili mjifunze maan me ndo najuaga kuwanyoosha maan mwenzenu nisha mnyoosha stakagi ujinga unakaaa na mtoto mzuri unashindwa ata kumcare kazi kutamani tu uko maresi wigi wakat ata mkeo kipindi unamtongoza pengine alikuwa zaidi ya hao unao mfanyia nao dharau mfyuuuuuuuu[emoji57]
Japo mwandiko mbaya ..Ila nakubaliana na ww [emoji817] Ni ukweli mtupu ..
 
House boy sio mtu?
House boy mostly ni vijana wenye afya kumzidi Baba mwenye nyumba
Sasa mtu mwenye akili ataulizaje swali unakosa nini?..
Hajui house boy ataweza kwenda kilomita nyingi kumzidi?..
Maswali mengine mbona majibu yapo wazi?
Umeongea facts mkuu,
Penzi siyo pesa, anakosa kumfikisha panapo na h/ boy anayaweza mambo,
Ni hayo tu,[emoji380]
 
hata kama sio sababu ya kutembea na h boy, jiulize habari kama hiyo ivume kitaa aibu ile huoni kama ni kujidhalilisha bt akicheat na mtu mwingine si shida sana
Naye ni mwanaume, huyo jirani yako ilitakiwa ajiulize kapwaya wapi, maana wengi ni busy zisizo isha lakini ukiwakuta huko nje na vidosho kama si wao, nao huwa wanaona hivyo roho ikiota kutu basi

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Jirani umekuja kunitangaza huku?
Kweli binadamu hana siri.
 
House boy sio mtu?
House boy mostly ni vijana wenye afya kumzidi Baba mwenye nyumba
Sasa mtu mwenye akili ataulizaje swali unakosa nini?..
Hajui house boy ataweza kwenda kilomita nyingi kumzidi?..
Maswali mengine mbona majibu yapo wazi?
Hahaha haha.....
 
Hushindwa kujielewa mke katoka kwao kaacha kila kitu, alichofuata hapo akipate, sasa odooo viporo tu kila kukicha

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Wanaume wapunguze kua busy mkuu hizi kesi ndogo ndogo hazitakuepo,

Mwingine anahamishia na kazi za ofisini nyumbani kabisaa, amefanya kazi more than 8 hrs huko ofisini then anakuja na home package tena,!!!

Halafu mkisaidiwa majukumu mnalalamika,
NB: siyo wanaume wote wake zao wana sababu za kucheat,
 
Wanaume wapunguze kua busy mkuu hizi kesi ndogo ndogo hazitakuepo,

Mwingine anahamishia na kazi za ofisini nyumbani kabisaa, amefanya kazi more than 8 hrs huko ofisini then anakuja na home package tena,!!!

Halafu mkisaidiwa majukumu mnalalamika,
NB: siyo wanaume wote wake zao wana sababu za kucheat,
Utasikia unakosa nini! Mke anajiulize hivi humu ndani nilifuata minofu ya samaki?
Au kuwa pazia la mlangoni, wake wengi huwa wanamezea tu sasa kama hana hofu ya Mungu ana anza kimya kimya tu

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Kuna kitu house boy anacho na mume wake hana, hata hivyo kusinzia kwa hadhira ni uzembe wa fanani
 
Unaanzaje kumuita mtu kusuluhisha ujinga km huo? Kuna watu wanaongezeka miaka tu
 
Natumai hamjambo wakuu.

Wanawake acheni kujidhalilisha, hivi mnakosa nini hata mnaamua kuwatunuku papa ma-house boy waliopo majumbani mwenu ajili ya kuangalia mifugo na usafi wa mazingira.

Jana nimeitwa kwa jirani kusuluhisha ugomvi wa aina hii, mwanamke anaulizwa na mumewe kipi anakosa hata ajidhalilishe hivo? yupo kimya tu hana jibu, yule bwana akamwambia bora amcheat na mtu mwingine kuliko house boy.

Kama ilivokawaida ya binadamu akikosea humsingizia shetani yule mwanamke alimsingizia shetani kampitia akaomba msamaha.

Kamwe sitowahi fuga kwangu ma-house boy coz akili za wanawake huwa wanazijua wenyewe
Hahaha
 
Back
Top Bottom