Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Siku chache zilizopota nimetangaza kuachana na uzinzi na kumrudia muumba wangu kupitia uzi huu
Jambo hili halijampendeza shetani, kuna kabinti kanaitwa Cathe kalikuwa kananizungusha sana eti jana kamenipigia kunijulia hali baada ya maongezi kakanitumia picha lahaulaaah.
Kwakweli sitarudi nyuma Cathe japo mwili unatamani kukukula lakini roho yangu haitaki tena uzinzi Cathe.
Nihurumie nisije nikakuomba maana nikikuomba ujue ntakuwa nakutaka kwa tamaa ya kukuingiza kwenye list ila sio mahusiano ya muda mrefu sawa Cathe?
Wasalimie Karagwe Cathe wangu.
Nimelala na wanawake almost 700 tangia 2002 nilivyoanza ushenzi huu mpaka leo majira ya saa 8 mchana nilipo kamilisha.
Nimechakata aina mbalimbali, nimetoka na wasichana na wanawake wa aina mbalimbali, nimeambulia bikira 29 tu lakini si haba.
Sijakataa mtoto yeyote. Sasa nimefunga ukurasa huu rasmi nimefuta namba zaidi ya 900 si unajuamademu wengine wana namba zaidi ya 1 hivyo nilikuwa na namba 900+ za watu niliowahi kuwagonga.
Kuanzia sasa mimi ni kiumbe kipya sitakuomba hata ukija PM. NIMEAMUA KUACHA UZINZI.
Mungu awabariki sana. Kama yupo mzinzi kama nilivyokuwa namsihi aache...

- Ponjoro wa Kinondoni
- uasherati ukurasa uzinzi
- Replies: 40
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki