Wanawake acheni kuwa na mionekano zaidi ya mmoja mnatuchanganya

Wanawake acheni kuwa na mionekano zaidi ya mmoja mnatuchanganya

Sun is Sun

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2024
Posts
1,254
Reaction score
2,014
Unakuta mtu ni mmoja ila Facebook, Insta, E.T.C ana mionekano tofauti.

Mtu ni mmoja asubuhi ni mweusi, usiku ni mweupe, asubuhi ni mwembamba😅😅😅.

Kweli wanawake mna tabu sana.
 
Mkuu sasa imetosha , mwambie muhudumu akupe bill🤣🤣
 
Namuangalia Zuchu , naona wako wanne tofauti ila mmoja ni wa kijijini Paje, sorry.
 
Back
Top Bottom