Wanawake acheni njaa za kishamba

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtu anaua ndugu zake wote anamalizaa kabisaa mpaka wazazi
 
Nakushauri Tu jifunze kujua demu muuza mbususu, demu wakumtumia kama kipoozeo, demu wa kumuweka kkama mchepuko mkuu na demu wa kujenga naye maisha ukielewa hayoo wala hutateseka Malaya utamjua siku ya kwanza Tu kuonana naye, alafu anatokaje na demu ambaye hawezi kujilipia naulii? Upo serious kweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23],Dah!!!,umetisha sana eti anakutumia Meseji kuwa Amekufa.
 
Kenny Rogers kwenye wimbo wake The Gambler aliimba kuhusu swala la timing,,,na kutumia kamari kama mfano wa kufundishia...

You've got to know when to hold them
Know when to fold them
Know when to walk away
And know when to run
You never count your money
When you're sitting at the table
There'll be time enough for counting
When the dealin's done

Jifunze kujua ni demu yupi wa kula Mzigo kwa free, wa kununua, wa kukupa kama Asante, wakupambania, wakuhonga, wakuachana nae na mwisho wa kula mzigo kimasihara.
 
Mbona siku hizi wanaume ndio wanapenda kitonga? Na siku hizi hata aibu hawana kabisa shenzy kabisa nina hasira na wewe baba O and M.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa huyo mwanamke uliye Naye ndo hakuombi hela ama? Hapa Duniani Hakuna mwanamke asiyependa pesa wewe Cha kufanya tafuta tu pesa mkuu
 
Kuna mmoja nilidata nae baada ya kuona picha zake Instagram,nikaona isiwe kesi nikazama dm kuomba namba,baada ya kuomba namba nikatumiwa kombora la Ukraine [emoji1255] la Elfu 20 kwa vile mimi ni mgiriki nikajiongeza nikamwambia wewe piga kabisa hesabu zote hadi za kuliwa mzigo nitumie invoice [emoji3477] kabisa Sipendi gharama nusu nusu [emoji851]invoice ikatumwa ni 150k nikaongea nae hadi mwisho pamoja na makato ikawa 80k,tatizo mnatongoza malaya badala ya kukubalia bei
 
Demu wa insta, tinder, badooo, chanell za telegram wote awoo uliza location yake wewe Panda dau lakoo na wala hawachomoi
 
mkuu toka 2019 ndo unafunguka leo?
 
Demu wa insta, tinder, badooo, chanell za telegram wote awoo uliza location yake wewe Panda dau lakoo na wala hawachomoi

Ndio hivyo mkuu ni kupanda dau tu lkn ukijifanya kutongoza unajikuta unaharibu tu nyara za serikali [emoji383] bila mpango wowote
 
Kila siku ana misiba yeye? labda ana ukoo mkubwa! 😂 ila jamani kuna watu ni tatizo sana hivi unaomba hela kwa kusingizia misiba au ugonjwa hujisikii vibaya?
 
Mapenzi bana. Umelalamikia mwanamke weeee,halafu mwishowe umerudi tena kwa mwanamke. Sa' ndio umefanya nini? 😂
Mkuu mbona jibu lako lina ukakasi ulitaka aende kwa wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…