rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtu anaua ndugu zake wote anamalizaa kabisaa mpaka wazaziHizo sample ni za Dar kupata demu wa kuinjoy nae bila huo usumbufu ni nadra sana asilimia kubwa ya mabinti wa dar ni wauzaji niliwahi kuwa na mmoja kwa wiki anaweza kukabwa hata mara tano hapo atakwambia mkoba na simu pamoja na hela wamechukua hivyo anaomba umpe hela na kiukweli ni fix tu ,lakini pia alikuwa na misiba yule dada sijapata ona hiyo yote umpe hela aende msibani *****.