Wanawake acheni njaa za kishamba

True story huwa zinajenga sana
 
Mimi siwezi kwakweli mwanamke mswahili kila kitu anaomba no way
Mapenzi ni kutoa always kama hatoi vyake hastahili kupokea vyako
 
Mademu wengi siku hizi hawajitambui, mtu anatoka kwao kijijini anakuja mjini kuomba na kudanga tu ili awatunze wazazi na ukoo wake huko kijijini. Unakuta wazazi hao hao ndiyo walikuwa bize kukataza watoto wao wasiende shuleni ila waende madrasat tu
 
Sasa nawe vocha ni kitu cha kukukimbiza???
Ndiyo mkuu kwani wanaanzaga hivi hivi, utawasikia hata vocha ya buku poa tu....ukimrushia sasa ndiyo umefungua kopo la nyuki, utapigwa mizinga ya kufa mtu bila hata haibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…