Wanawake acheni njaa za kishamba

Wanawake acheni njaa za kishamba

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Habari ndugu zangu

Nakumbuka ilikuwa 2019 wakati natafuta mwanamke wakuingia nae kwenye mahusiano ya mapenzi, nilikutana na manzi mmoja kwenye daladala nikamuomba number ya simu akanipa nikawa nachart naye sana baada ya kupita kama wiki mbili nikaomba meet demu akakubali ila akaniomba nimpe hela ya nauli yakuja nikampa 5k

Baada ya muda mrefu kupita nikaona kimya sana nikampigia simu demu akaniomba msamaha akasema alipata ajali ya boda boda mguu wake ukapata jeraha akaniomba kama hautajali naomba hela ya matibabu bila hiyana nikampa 30k.

Nikampa gape ya wiki moja ili apone au apate haueni niombe meet nyingine demu akakubali akaniomba hela ya nauli nikampa 4k na kweli demu akaja, nilimuita kwenye bar mmoja hiv ya hapa dar

Binafsi niliagiza soda maana mimi sio mnywaji wa pombe yeye siku hiyo alipiga wisk 1 na Bavaria 5 me nikapiga soda 2 tukala nyama choma na ndizi pamoja na yote haya niweza kuangalia miguu yake sikuona hata kovu lolote nikajua kabisa nilipigwa.

Demu akuwa na haya wala haiba ya kike aikuishia hapo akaniomba nimsaidie kiasi fulani chakumsaidia sister wake ambaye yupo mahututi kutokana na ile hali nikaona hapa huyu sio mwanamke wakuwa kwenye mahusiano nilikuwa nawazo la kumtongoza ila nikaghailisha badala yake nikaona nitengeneze Mazingira ya kupiga game siku hiyo hiyo tofauti na hapo atanisumbua sana.

Hivi hawa wanawake Nani kawaroga alafu unakuta wanalalamika oh vijana hawaoi sijui nini ndio maana wanazalishwa na kuachwa kwasababu wengi wao hawana sifa ya kuolewa

Ila nashukuru Mungu mwaka Jana nikapata mwanamke wa ndoto yangu ambaye nipo naye mpaka leo
 
Habari ndugu zangu

Nakumbuka ilikuwa 2019 wakati natafuta mwanamke wakuingia nae kwenye mahusiano ya mapenzi nilikutana na manzi mmoja kwenye daladala nikamuomba number ya simu akanipa nikawa nachart naye sana baada ya kupita kama wiki mbili nikaomba meet demu akakubali ila akaniomba nimpe hela ya nauli yakuja nikampa 5k
Basi,pole.
 
Habari ndugu zangu

Nakumbuka ilikuwa 2019 wakati natafuta mwanamke wakuingia nae kwenye mahusiano ya mapenzi nilikutana na manzi mmoja kwenye daladala nikamuomba number ya simu akanipa nikawa nachart naye sana baada ya kupita kama wiki mbili nikaomba meet demu akakubali ila akaniomba nimpe
🤣🤣🤣🤣Vipi ulikula mbususu?

Wanawake wee nikugegeda mara tatu na kusepa
 
Duh we jamaa unatuma hela mapema sana kabla hata ya kujuana na mtu duh, aisee we kiboko, madanga mengi mjini ndivyo yalivyo pesa mbele , usishangae hata siku moja akakutumia message kuwa amekufa wakati yeye ndio anakutumia ujumbe. Hawa viumbe ni shida sana.
 
Waawake pia sio wajinga...unakuta alikusoma tu kuanzia uandikaji wako wa texts hapa hakuna future...

Kwanini asijilie vya Bure?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duh we jamaa unatuma hela mapema sana kabla hata ya kujuana na mtu duh, aisee we kiboko, madanga mengi mjini ndivyo yalivyo pesa mbele , usishangae hata siku moja akakutumia message kuwa amekufa wakati yeye ndio anakutumia ujumbe. Hawa viumbe ni shida sana.
Hahahahaha
 
Back
Top Bottom