Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,971
- 4,085
Kama mada inavojieleza, wanawake acheni roho mbaya.
Kama mtu haumuitaji tena na umemchoka kwann umsingizie mambo mabaya?nimesikia matukio mengi kuhusu wanawake kiukweli mmezidi roho mbaya.
Kuna jamaa yangu miaka miwili iliyopita sasa badae sjui ilikuwaje yeye na mkewe wakapishana na wakawa hawaelewani..familia zote mbili zikakaa chini na kuwaita ili kuwaweka sawa.
Cha ajabu zaidi yule mwanamke akasema eti chanzo cha ugomvi ni jamaa anataka kisamvu cha kopo[emoji15][emoji15] basi wanawake waliokuwa pale kwenye kikao kusikia vile wakalipuka uwiii.
Jamaa alishindwa kujieleza ili aweze kueleweka akaishia tu kulia kuomba amuandikie talaka waachane. Kiukweli nimemfikiria yule dada sijapata jibu! Kwanini amuaibishe mwenzake namna ile? Jamaa mpaka sasa hayupo sawa kabisa.
Ndio maana sitaki kuoa ni kujiongezea matatizo tu.