Wanawake acheni tabia hizi haraka sana

Sina dawa ya meno jamani...nashindwa piga mswaki..natafuta mfadhili
 
Ni mwanamke wako huyo, usi generalize lol
 
..

Daaah! Wadada wengi wavivu kupiga mswaki afu walivo wepesi kusogeza midomo, mnatuchomoa hewani hadi hamu inaisha. Unakuta Mdada mzuri harufu ya mdomon utakimbia
 
2.Wanawake wengi hawapigi mswaki,na akipiga haipiti dakika.
huu ni ukweli usiopingwa, na ni wengi hunuka midomo,
hawapigi mswaki vizuri, wakati ni moja ya sehem nyeti mno
mabinti wengi hunuka midomo
na unakuta binti mkali na mrembo mno ila ananuka domo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…