Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..Habari za mchana wanajamvi
Kwa muda sasa nimekuwa nikikerwa na baadhi ya tabia ambazo zinaonyeshwa na jinsia ya KE ambazo sio za kistaarabu kabisa.Moja ya tabia hizo ni
1.Wanawake wengi wanapenda kujichokonoa puani kwa vidole vya mkono ambako najua wengi mnafahamu ni sehemu ambayo inatunza uchafu mwingi.Utakuta mdada mzuri na ana shape nzuri lakini hiyo pua inachonolewa kila muda kwa vidole vya mkono yaani grrrrrrrrrrrrrrrrrrrr full uchafu halafu mnataka kutushika mikono
2.Wanawake wengi hawapigi mswaki,na akipiga haipiti dakika.Utamkuta mwanamke kapa mdomo wake lipstick vizuri lakin hayo meno machafu sana.Wanaume wenzangu fanyeni utafiti kwa hil kwa wapenzi wenu mtagundua.Wanawake wengi wanapenda urembo ila wanasahau suala la kupiga mswaki
NB.SIO KWAMBA WANAUME HAWANA TABIA HIZI,ILA KWA WANAWAKE ZIMEKITHIRI SANA.Badilikeni
Povu ruska
huu ni ukweli usiopingwa, na ni wengi hunuka midomo,2.Wanawake wengi hawapigi mswaki,na akipiga haipiti dakika.