Wanawake acheni tabia hizi haraka sana

Wanawake acheni tabia hizi haraka sana

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,250
Habari za mchana wanajamvi
Kwa muda sasa nimekuwa nikikerwa na baadhi ya tabia ambazo zinaonyeshwa na jinsia ya KE ambazo sio za kistaarabu kabisa.Moja ya tabia hizo ni
1.Wanawake wengi wanapenda kujichokonoa puani kwa vidole vya mkono ambako najua wengi mnafahamu ni sehemu ambayo inatunza uchafu mwingi.Utakuta mdada mzuri na ana shape nzuri lakini hiyo pua inachonolewa kila muda kwa vidole vya mkono yaani grrrrrrrrrrrrrrrrrrrr full uchafu halafu mnataka kutushika mikono

2.Wanawake wengi hawapigi mswaki,na akipiga haipiti dakika.Utamkuta mwanamke kapa mdomo wake lipstick vizuri lakin hayo meno machafu sana.Wanaume wenzangu fanyeni utafiti kwa hil kwa wapenzi wenu mtagundua.Wanawake wengi wanapenda urembo ila wanasahau suala la kupiga mswaki

NB.SIO KWAMBA WANAUME HAWANA TABIA HIZI,ILA KWA WANAWAKE ZIMEKITHIRI SANA.Badilikeni
Povu ruska
 
1.Wanawake wengi wanapenda kujichokonoa puani kwa vidole vya mkono ambako najua wengi mnafahamu ni sehemu ambayo inatunza uchafu mwingi.

Utakuta mdada mzuri na ana shape nzuri lakini hiyo pua inachonolewa kila muda kwa vidole vya mkono yaani grrrrrrrrrrrrrrrrrrrr full uchafu halafu mnataka kutushika mikono

2.Wanawake wengi hawapigi mswaki,na akipiga haipiti dakika.Utamkuta mwanamke kapa mdomo wake lipstick vizuri lakin hayo meno machafu sana.

Wanaume wenzangu fanyeni utafiti kwa hil kwa wapenzi wenu mtagundua.Wanawake wengi wanapenda urembo ila wanasahau suala la kupiga mswaki

NB.SIO KWAMBA WANAUME HAWANA TABIA HIZI, ILA KWA WANAWAKE ZIMEKITHIRI SANA.

Badilikeni

Povu ruska
 
jiwe gizani hilo,tulia
Hakuna cha jiwe gizani, Ni kwamba wanawake wachafu ndio wanaokuvutia,una bahati ya kukatana nao. huoni uchafu wa wanaume kwasababu hudate nao. Sisi tunaona...na mada yako umeamua tu kuwaponda wanawake kwasababu zako binafsi lkn wapo wanaume wengi wachafu kupita maelezo.
 
Mmmh we sema ilo demu lako umeokota mbona mademu wasafi sn meno yanang'aa wakitabasamu
 
sijakataa hilo suala la wanaume,lakini nimewazungumzia wanawake wengi sio wote,wewe kama huna tabia hizo kwanini ujitetee,wale lililowagusa si umeona wamekaa kimya,kama una tabia hizo basi jirekebishe,lengo watu wabadilike
 
Sijajitetea bali nimechangia, nijitetee kwa lipi? Kama nanuka mdomo wewe utasikiaje harufu?
Nimeshangaa wewe kuhusisha suala la uchafu wa aina hiyo kwa wanawake zaidi. Ni kwamba hizo tabia umeziona pia kwa wanawake waliokaribu na wewe?...I mean ndugu zako wa karibu ambao unaishi nao na kukutana nao kila siku? Au unawazungumzia wanawake uliounganisha nao vikojoleo?
 
Wanawake wengi wenye tabia hizo nafikiri wamenielewa,wewe kama mtetezi wao wafikishie ujumbe pia
 
Mmmh we sema ilo demu lako umeokota mbona mademu wasafi sn meno yanang'aa wakitabasamu
ladba demu wako lakini mademu wengine hilo linawahusu,na huenda anakufurahisha kipindi hiki hujuoa ukimuoa utakuja kunishukuru,all in all fikisha ujumbe
 
Wanawake wengi wenye tabia hizo nafikiri wamenielewa,wewe kama mtetezi wao wafikishie ujumbe pia
Siwezi wafikishia ujumbe maana hawajawahi nikera. Umekuja kimipasho haya endelea...am out here
 
Habari za mchana wanajamvi
Kwa muda sasa nimekuwa nikikerwa na baadhi ya tabia ambazo zinaonyeshwa na jinsia ya KE ambazo sio za kistaarabu kabisa.Moja ya tabia hizo ni
1.Wanawake wengi wanapenda kujichokonoa puani kwa vidole vya mkono ambako najua wengi mnafahamu ni sehemu ambayo inatunza uchafu mwingi.Utakuta mdada mzuri na ana shape nzuri lakini hiyo pua inachonolewa kila muda kwa vidole vya mkono yaani grrrrrrrrrrrrrrrrrrrr full uchafu halafu mnataka kutushika mikono

2.Wanawake wengi hawapigi mswaki,na akipiga haipiti dakika.Utamkuta mwanamke kapa mdomo wake lipstick vizuri lakin hayo meno machafu sana.Wanaume wenzangu fanyeni utafiti kwa hil kwa wapenzi wenu mtagundua.Wanawake wengi wanapenda urembo ila wanasahau suala la kupiga mswaki

NB.SIO KWAMBA WANAUME HAWANA TABIA HIZI,ILA KWA WANAWAKE ZIMEKITHIRI SANA.Badilikeni
Povu ruska
Huku ngoja niondoke sina uzoefu.
 
Back
Top Bottom