Wanawake acheni tabia za kuwageuza Wanaume ATM!

toa tu kaka kama unayo kwani pesa
kitu gani bana ukipenda hata figo mtu waweza toa
sembuse hela sijui ya vocha kama ipo u provide broda..
hivi hao wa vocha wapo wapi mie nawasaka kweli..
 
Mi sikuombi kabisa ila with time utatoa mwenyewe, na hii pia tunalaumiwa? au tusipokee? mie napenda tuelewane, nimwelewe anielewe, kama yuko mchovu inajulikana, na kama ana uwezo kwa nini asinihudumie mie mpenzi?

akiishiwa na yeye sio mbaya kusaidiana maana maisha kuna kesho na kesho kutwa, na kila siku sio jumatano
 
<br />
<br />
 


Hapo umenena BB....
 
Ila mabinti wana njaa kali siku hizi ndio maana maendeleo yanagotagota coz wanaume wanahonga ili walimane tu!
 
wanawake wapo wa makundi tofauti

kundi la wachunaji lipo....

mimi huwa wananifurahisha wale ambao baada tu ya kubadilishana namba za simu
unapokea ujumbe,please recharge me...lol
huwa nacheka hadi basi....
The boss ukitongoza mwanafunzi unategemea nini?
lazima uombwe vocha tu
 
yah yah, hii kiutu uzima zaidi, ni swala tu la kila mtu kujua majukumu yake
 
Haya uliyoyaandika hapa na kama kweli utakuwa unapractice kwenye maisha,............Basi na amebalikiwa mume atakaekuowa au kama umeshaolewa basi namuonea wivu huyo mume wako kwa kupata mke mwema kabisa.
Wadau kumbukeni hii thread nimeileta hapa kutokana na uzoefu wangu wa maisha na sio kwamba inanihusu mimi kwa 100%
 
Nashindwa kuelewa kwa nin kila mdada ninayemfahamu kutoka mkoa wa dar es salaam lazima awe ameishaga nipiga kizinga,na co mimi 2 kuna jamaa zangu ka 7 hvi nao wana case ka yangu..tatizo huwa ni maisha magumu dar au wao ndo hawajishughulish na kuweka usister duu mbele?
 
wacha ubahili,tangia zamani mababu zetu ndio walikuwa na majukumu ya kutoa financial assistance...ni jambo la kiume zaidi..........mungu niepushie mbali na wanaume wabahili ameeen.
 
inategemea na wewe mwenyewe, na mingine sio mizinga ni mtu ana kuwa na shida ya ukweli
 

Washajiwekea mawazo yakuwa tegemezi na ndo maana haki sawa haitakuwepo milele itaishia kuhubiriwa majukwaani tu.
 


-Speachless-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…