oh! Jamani Senator... Wadada sio wajinga no matter ana age gani... Yawezekana kweli unapesa sustainable sio nyingi... but waonekana unazao alafu on top of that ni mtu ambae rahisi kuzoeleka... but hapa nimekusoma kua you are sensitive kwa wadada... mdada yoyote akisha jua jina lako na kukufuatila once in a while kwako tayari unaku umemshiba.. aidha sababu hua unahurumia saana wanawake... Ama sababu hua unakua na mpango wa kulala nao, ila yaonesha techniques zakushinda... wanachukua pesa then wanasepa... (na kama wanasepa kama walikuahidi game na wasikupe - ina maana hua una potray weakeness kwa wadada, hivo inakua haimvutii kulala nawe.... Kumbuka hayo ni maoni naweza nikawa wrong...