kikaragosi
Senior Member
- Nov 14, 2010
- 112
- 10
Hilo nalo neno!!......-Speachless-
Usitumie nguvu kubwa kuwasilisha hoja yako, wapo pia wanaume kama mabinti, leo sio topic yao nitakuja na hiyo topic siku zijazo.ukiongelea wanawake unanifanya niwaone kiumbe cha hajabu kuliko pweza maana demu anaishi mwao na ww kwenu lakini eti anataka hela ya matumizi, yanini tena mwingne mpka ya mchango wa shoga wake party umtoleee Kikubwa tamaa ndo maana wanamegwa sana nyambufu zao
inategemea na wewe mwenyewe, na mingine sio mizinga ni mtu ana kuwa na shida ya ukweli
Wewe nadhani unachohitaji ni uhai wake,..........Senator if you don't mind naomba niazime Lak 5, nitarudisha Weekend.... mambo yamenibana kweli....
Senator if you don't mind naomba niazime Lak 5, nitarudisha Weekend.... mambo yamenibana kweli....
bora hata umenisave kumjbu mkuu,maana me mwenyewe had naleta hi thread hapa ni kwamba nshapgwa vzinga na cna k2,cjui hata niwajbuje hao wadada,afu asha dii nae ananletea matatzo mengne.Wewe nadhani unachohitaji ni uhai wake,..........
Mtu unamuona kabisa pochi yake imeunganishwa na mapigo ya moyo sasa akiitoa tu mfukoni kuna uhai hapo?
Wewe nadhani unachohitaji ni uhai wake,..........
Mtu unamuona kabisa pochi yake imeunganishwa na mapigo ya moyo sasa akiitoa tu mfukoni kuna uhai hapo?
we uko wapi?
sometimes wadada hupiga mizinga ili tu awe close na wewe
ni njia tu ya kukuzoea hasa wanafunzi wa college,hata kama hana shida hiyo
but kakuzimia atakufuata kwa gia hiyo...
utasikia njaa inaniuma,nipe offer basi ya lunch..
ashadii ucniongezee presha mkuu.Jamani nimeazima tu... nitarudisha....lol
bora hata umenisave kumjbu mkuu,maana me mwenyewe had naleta hi thread hapa ni kwamba nshapgwa vzinga na cna k2,cjui hata niwajbuje hao wadada,afu asha dii nae ananletea matatzo mengne.
Yeye mwenyewe anatumia kisimu cha mchina kulog in JF, unadhani apendi awe na laptop yake?......Jamani nimeazima tu... nitarudisha....lol
Wala hauko wrong,........oh! Jamani Senator... Wadada sio wajinga no matter ana age gani... Yawezekana kweli unapesa sustainable sio nyingi... but waonekana unazao alafu on top of that ni mtu ambae rahisi kuzoeleka... but hapa nimekusoma kua you are sensitive kwa wadada... mdada yoyote akisha jua jina lako na kukufuatila once in a while kwako tayari unaku umemshiba.. aidha sababu hua unahurumia saana wanawake... Ama sababu hua unakua na mpango wa kulala nao, ila yaonesha techniques zakushinda... wanachukua pesa then wanasepa... (na kama wanasepa kama walikuahidi game na wasikupe - ina maana hua una potray weakeness kwa wadada, hivo inakua haimvutii kulala nawe.... Kumbuka hayo ni maoni naweza nikawa wrong...
jamani asha dii..senator if you don't mind naomba niazime lak 5, nitarudisha weekend.... Mambo yamenibana kweli....