Wanawake acheni tamaa, mnajidhalilisha

Et matako yako...hamna mtu hapo [emoji3][emoji3]
 
Alikuwa anakufukuza tu hapo usijipe kichwa wal humuhimu
Wanawake bwana, logic zenu, tangu lini kumwomba mtu msaada wa hela ndo iwe njia ya kumfukuza, ipo siku utakwama kweli kipesa, halafu ukose mtu wa kukusaidia figo76
 
Mwanaume uliekamilika kweli unaanzaje kumpa hela mwanamke 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…