Wanawake acheni.

Mwili ni wako...hakuna anayepelekea,ni wewe unaamua ufanye ama usifanye

Hakuna wa kulaumu zaidi ya wewe mwenyewe
Ningekua Jiwe ningekutunuku ukuu wa wilaya, angalau hata uwe msaidizi wa yule wa kisarawe!
 
Tupo sahihi inategemea umefanya kwa mda gani hayo madhara hayaji kwa siku moja.ila sasa akianza hio tabia haachi haraka nsio maana tunakemea
Sijui kuna mtu ataingiziwa mitishamba huko zizini, msiache kuleta mrejesho.
Lakini hii inategemeana na mara ngapi umefanya au hata mara moja tu maana wengine mbona hawatoi mavi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…