Wanawake acheni.

Wanawake acheni.

Bible kuna mahi imeandika "wazinzi,wezi,wasengenyaji,wafiraji wamelaaniwa sasa apo imefanyaje achen ujinga
 
Uyo anayetetea wanawake wafanywe kinyume yeye akiambiwa afanywe na wanaume wenzie atakubali maana haina tofauti na ya mwanamke
 
Refer to previous clarification of the verse..
Bible kuna mahi imeandika "wazinzi,wezi,wasengenyaji,wafiraji wamelaaniwa sasa apo imefanyaje achen ujinga
 
Mwili ni wako...hakuna anayepelekea,ni wewe unaamua ufanye ama usifanye

Hakuna wa kulaumu zaidi ya wewe mwenyewe
Aisee umeongea point wanawake weng tuna huruma za upuuz mwanaume anakulazmisha kisa unaogopa asikuache akat akishayafumua anatafuta mwngne aliyebana
 
Unakosea ufiraji ni kufanya kinyume....oky bible imesema mfanye tendon LA ndoa ili muongezeke so ukifanya kinyume utampatia mimba....by the way wew ni mfiraji huna maana in this world
 
wafira** mna mitego na thread zenu yaani hii yote ni kutaka kubadilishana uzoefu na wafira** wenzako
 
Suala la kufanya mapenzi kinyume na maumbile ni pamoja na kuingiza uume mdomoni, kunyonya uke. mdomo si kazi yake, wala ulimi pia. Binadamu ni kiumbe kinachopenda kujaribu mambo mapya kila wakati. hasa anayokatazwa.
Hili suala si la wanawake pekee wa kupewa lawama, hata sisi wanaume. Nachelea kusema mwanzilishi alikuwa mwanaume. Mwanamke amekuwa akipewa lawama sana katika hili; sawa na kufanya ngono hadhari. Lawama nyingi kwa mwanamke.

Ushauri wangu kama wewe hupendi usifanye, tetea nafsi yako. Kila mtu atajibu sawa sawa na matendo yake.
 
Habarini wandugu,swala la mapenzi kinyume na maambile ni jambo la kufurahisha kwa wapuuzi ila ni jambo hatari sana kwa afya kwani hii hupelekea mwanamke kupata madhara ambayo hayatibiki.kitendo hicho huharibu kuta(muscle) za mkundu hali ambayo husababisha mama kutoa kinyesi muda wowote na pia wakati wakujifungua hutoa kinyesi kingi mnoo mpaka inamletea kupoteza nguvu,pia husababisha mwanamke kuwa na harufu mbaya hasa muda wa juto kuzidi,huharibu mawazo na kufanya awaze ngono kuliko kingine,hupelekea infection,hupelekea kutoka nyama mkunduni,huchangia kwa na shapelegevu.pia wanaume hupata madhara mengi kama infection,kuziba mkojo,kukosa hamu ya tendo la ndoa kwa njia ya kawaida,kupoteza hisia za uanaume na mwisho huleta dhambi....karibuni pm kwa matibabu kama umekua affected pia kwa ushauri ili uache....asanten

Kuna vitu umepotosha kitaaluma ya kimatibabu mkuu
 
Hivyo vitabu ndo utandawazi naokwambia wazee wazamani ndomana waliyaweza mapenzi si nyinyi kila kitu mnatafuta references
Tigo ilianza kati ya mume na mke. Ndo ikahamishiwa kwa wanawake.
 
Mleta mada unafanya sensa ndani ya jukwaa kupata idadi ya watumiwa tg au unalengo gani Mkuu?
 
Kitendo hicho huharibu kuta(muscle) za mkundu hali ambayo husababisha mama kutoa kinyesi muda wowote na pia wakati wakujifungua hutoa kinyesi kingi mnoo mpaka inamletea kupoteza nguvu,pia husababisha mwanamke kuwa na harufu mbaya hasa muda wa joto kuzidi,uharibu mawazo na kufanya awaze ngono kuliko kingine,hupelekea infection,hupelekea kutoka nyama mkunduni,huchangia kwa na shape legevu.

Hilo ndilo pekee la ukweli kati ya hayo. Hayo mengine yote umeandika kimuhemko tu.
 
Back
Top Bottom