Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Wanawake ukifikiria unashindwa kuelewa hawa watu akili zao zinafanyaje kazi, zinazunguka ant-clockwise ama nini?
Nilikua na mpenzi wangu, akawa ananichukulia poa, nikajua huyo ana mwanaume mwingine anaempa kiburi tu, sikujali sana, kapigwa mimba huko na mshikaji kakataa mimba, nashangaa akaanza kunitafta na kuniomba nimsamehe.
Nikashangaa, nikauliza imekuaje ikabidi aniambie ukweli, akawa analazimisha tuonane tuongee, nikaona isiwe shida, nikamkubalia, nikamsikiliza, kisha kwa hasira nikamtafuna, kesho yake nikaweka picha ya mpenzi wangu mpya kwenye whatsapp.
Ndugu yake ananipigia simu eti amezimia, nimsaidie mimba isije kutoka, nikamuuliza ndugu yake kwani hiyo mimba ni yangu? Wao wananiomba niwe nae karibu kumfariji maana mwenye mimba hapatikani wala hajulikani alipo.
Najiuliza hivi wanawake akili zao zinafikiriaje? Alipokua ananichukulia poa alijua siwezi kupata mwanamke mwingine? Watu wengine wapumbavu sana.