Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hutakiwi kumuwekea kisasi ,katafute hela kwanza ndio urudi kwani hujawajua tu wanawake na ukubwa wote ulionao!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke mwenye bikra ndio uoe. Ndio umpende. Huyo ni wako. Huyo ndiye mke wako.
Huyo mwenye bikra ukimpata. Msamehe hata kama ukimfumania.
Mwanamke mwenye bikra huyo ndio ubavu wako. Huyo ndiye mwenye heshima yako.
Hao wengine ni nguo ya mtumba. Ilishavaliwa na wengine. Inamakando kando ya wengine.
Mwanamke mwenye bikra hawezi kukufanyia hayo.
Bikra oooh! Bikra ndio wimbo wangu kwa vijana.
Tafuta bikra uoe.
Ukipata bikra usiiharibu kama huna mpango wa kuoa.
Haribu vilivyoharibiwa.
Fanya mapenzi kiholela na walioharibiwa. Kilichoharibiwa ni halali kuharibiwa.
Kipya ni halali kutunzwa na kuheshimiwa.
Haya tuyie shime. Himahima tukaharibu vilivyoharibiwa.
Tuvitunze vilivyojitunza.
Takataka hutupwa Dampo. Hufagiliwa. Twendeni tukafagie takataka.
Vijana nisikieni. Gari jipya hujifunzi nalo udereva. Magari machakavu ndio ya kujifunzia. Gari mpya ni mwanamke mwenye bikra. Kamwe usijifunzie mapenzi kwake. Usije ukamuumiza.
Mwanamke asiye na bikra huyo ni gari chakavu. Ni ruhusa kujifunzia udereva. Haya ukiligonga kwenye mti ni sawa kwa maana ni gari lililochakaa.
Vijana hima hima
We share the situation even not exactly sameYou are in love ndugu nd maana wasema hvyo..!!ht mimi nlkuwa nawatetea hvyo hvyo
Just imagine
Alidanganya n bkr kumbe co(nkamsamehe kwakuwa nampenda)
But then akaja kunichukulia poa nlpomaliza chuo coz ckuwa na ajira
And unaexpect mimi niwe okay nae...!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabaharia,eti namkoa nikamtafuna. Baadae ameleta uzi wa kulia liaSi ndo zenu mnajiita mabaharia, kuwa umkomoe kumbe mtu anajikomoa mwnyw
ndo umeshakuwa level zake sasa huu ndio muda wako wa kuenjoy acha kujinyima rahaI didnt say kuwa nna kisasi nae...akituma text hua najibu...but ctaki tu ukaribu nae?
Sent using Jamii Forums mobile app
ndo umeshakuwa level zake sasa huu ndio muda wako wa kuenjoy acha kujinyima raha
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ni bikra?Pale shetani anapokuwa malaika, mood ya leo ni kuandika andika tyuuuuuuuuuuuuu
kwa niaba ya wanaume wa kino 😅😅😅Kulikuwa na haja gani ya kuonana nae?. Kwa nini ukamtafuna? Tamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀😀😀😀😀najikuta nacheka tu, kwa kuwa Mimi na wewe tuna mood ya kuandika andika leo
in this game ya masuala ya moyo lazima mjanja awe mmoja... jamaa wala hajakosea alikuwa kwenye denial phase tuSi ndo zenu mnajiita mabaharia, kuwa umkomoe kumbe mtu anajikomoa mwnyw
Kama aliona amepata mimba ya mtu mwngne, bs angesimamia msimamo wake tu kuwa hamtaki .in this game ya masuala ya moyo lazima mjanja awe mmoja... jamaa wala hajakosea alikuwa kwenye denial phase tu
hivi ni kweli kuwa bikra huwa zinatoka zenyewe zikikaa sana?Mwanamke mwenye bikra ndio uoe. Ndio umpende. Huyo ni wako. Huyo ndiye mke wako.
Huyo mwenye bikra ukimpata. Msamehe hata kama ukimfumania.
Mwanamke mwenye bikra huyo ndio ubavu wako. Huyo ndiye mwenye heshima yako.
Hao wengine ni nguo ya mtumba. Ilishavaliwa na wengine. Inamakando kando ya wengine.
Mwanamke mwenye bikra hawezi kukufanyia hayo.
Bikra oooh! Bikra ndio wimbo wangu kwa vijana.
Tafuta bikra uoe.
Ukipata bikra usiiharibu kama huna mpango wa kuoa.
Haribu vilivyoharibiwa.
Fanya mapenzi kiholela na walioharibiwa. Kilichoharibiwa ni halali kuharibiwa.
Kipya ni halali kutunzwa na kuheshimiwa.
Haya tuyie shime. Himahima tukaharibu vilivyoharibiwa.
Tuvitunze vilivyojitunza.
Takataka hutupwa Dampo. Hufagiliwa. Twendeni tukafagie takataka.
Vijana nisikieni. Gari jipya hujifunzi nalo udereva. Magari machakavu ndio ya kujifunzia. Gari mpya ni mwanamke mwenye bikra. Kamwe usijifunzie mapenzi kwake. Usije ukamuumiza.
Mwanamke asiye na bikra huyo ni gari chakavu. Ni ruhusa kujifunzia udereva. Haya ukiligonga kwenye mti ni sawa kwa maana ni gari lililochakaa.
Vijana hima hima
mkuu pongezi kwako, na naona umerudi😂😂heri ya sikukuu mkuu kiatmbo ujue sikuoni kwenye nyuzi zetuMwanamke mwenye bikra ndio uoe. Ndio umpende. Huyo ni wako. Huyo ndiye mke wako.
Huyo mwenye bikra ukimpata. Msamehe hata kama ukimfumania.
Mwanamke mwenye bikra huyo ndio ubavu wako. Huyo ndiye mwenye heshima yako.
Hao wengine ni nguo ya mtumba. Ilishavaliwa na wengine. Inamakando kando ya wengine.
Mwanamke mwenye bikra hawezi kukufanyia hayo.
Bikra oooh! Bikra ndio wimbo wangu kwa vijana.
Tafuta bikra uoe.
Ukipata bikra usiiharibu kama huna mpango wa kuoa.
Haribu vilivyoharibiwa.
Fanya mapenzi kiholela na walioharibiwa. Kilichoharibiwa ni halali kuharibiwa.
Kipya ni halali kutunzwa na kuheshimiwa.
Haya tuyie shime. Himahima tukaharibu vilivyoharibiwa.
Tuvitunze vilivyojitunza.
Takataka hutupwa Dampo. Hufagiliwa. Twendeni tukafagie takataka.
Vijana nisikieni. Gari jipya hujifunzi nalo udereva. Magari machakavu ndio ya kujifunzia. Gari mpya ni mwanamke mwenye bikra. Kamwe usijifunzie mapenzi kwake. Usije ukamuumiza.
Mwanamke asiye na bikra huyo ni gari chakavu. Ni ruhusa kujifunzia udereva. Haya ukiligonga kwenye mti ni sawa kwa maana ni gari lililochakaa.
Vijana hima hima
childish gambino. Unatumiaje upuzi wa mtu mmoja kuhukumu jinsia yote ya kike?Wanawake ukifikiria unashindwa kuelewa hawa watu akili zao zinafanyaje kazi, zinazunguka ant-clockwise ama nini?
Nilikua na mpenzi wangu, akawa ananichukulia poa, nikajua huyo ana mwanaume mwingine anaempa kiburi tu, sikujali sana, kapigwa mimba huko na mshikaji kakataa mimba, nashangaa akaanza kunitafta na kuniomba nimsamehe, nikashangaa, nikauliza imekuaje ikabidi aniambie ukweli, akawa analazimisha tuonane tuongee, nikaona isiwe shida, nikamkubalia, nikamsikiliza, kisha kwa hasira nikamtafuna, kesho yake nikaweka picha ya mpenzi wangu mpya kwenye whatsapp, ndugu yake ananipigia simu eti amezimia, nimsaidie mimba isije kutoka, nikamuuliza ndugu yake kwani hiyo mimba ni yangu? Wao wananiomba niwe nae karibu kumfariji maana mwenye mimba hapatikani wala hajulikani alipo.
Najiuliza hivi wanawake akili zao zinafikiriaje? Alipokua ananichukulia poa alijua siwezi kupata mwanamke mwingine?? Watu wengine wapumbavu sana.
Mudi ya Leo ni kuchokoza chokoza watu tu.Labda wewe na fake id, mood ya leo ni kuandika andika tu
Mood ya leo ni kuandika andika mudi instead of moodMudi ya Leo ni kuchokoza chokoza watu tu.