establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,632
- 2,435
Acha shoboHuyo story yako hana tofaut na yang sema me alitoa mimba na mpaka leo ananijutia kunipoteza.... [emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha shoboHuyo story yako hana tofaut na yang sema me alitoa mimba na mpaka leo ananijutia kunipoteza.... [emoji1787][emoji1787]
Kipindi cha mpitohaaha waambie tu hao wanandugu wamfariji ndugu yao katika kipindi hichi kigumu.
Kazi nzuri sana ameifanya mwamba! Kenge kama hao wasio na misimamo dawa yao ndio hio!MKUU SAFI SANA KWA ULICHOMFANYIA UYO MUUZA UCHI, UMENIKOSHA MNOOO
Tulizana nawe! Hio ndio AstraZeneca ya wanawake wasiojielewaSasa hapo unachoshangaa kikubwa ni nini? Wewe uliemtafuna unajiona uko sawa ila yeye unamshangaa.
Mafurushi.
Sasa aliejikomoa mwenyewe ni nani? Katika hio scenario huoni kuwa huyo mjinga mwenzenu ndie loser!Si ndo zenu mnajiita mabaharia, kuwa umkomoe kumbe mtu anajikomoa mwnyw
Hakuna alieumbiwa shida braza! Hata sisi wanaume ni hivyo hivyo ila tunatumia akili zetu vyema kuliko jinsia pinzani!Msijenge visasi vya mapenzi na wanawake...ndivyo walivyo.
Ukifuatilia hakuna cha maana tunachopata wanaume zaidi ya faraja na heshima kwao. Hata mkeo utakayekuja kimwoa ukimfuatilia tabia zake hutaoa.
Hawajaumbiwa shida...udambwiudambwi ndiyo sehemu zao...hivi vingine hawana namna tu.
Ni vibaya kukataa offer ya mbususu tena ya free boat namna hio sababu lengo pia ni kukuonesha kuwa wewe ni mpuuzi tu! Kwahio unatafunwa na kutoswa ili ikuume kama jinsi ambavyo ilimuuma yeye kipindi unamtesa na hawara wako aliokupa mimba!Kama aliona amepata mimba ya mtu mwngne, bs angesimamia msimamo wake tu kuwa hamtaki .
Una uhakika?Wanawake n washenz mno,akil zao n kama za kuku huwa hawakumbuk yalyopita
Samahan lakin kuna muda wanawake wanakera sana,ngoja nkupe mifano:-Una uhakika?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wanawake akili zao cjui zpoje....kuna dem nlkuwaga nae...alikuwa ananchukulia poa balaa..!!ndugu zake pia nkiongea nao dharau kbao..
Nikaamua kujitoa...nkatafta maisha maana walileta dharau kwakuw ndo nlkuwa nmemaliza chuo na ajira sina
Juzi ndugu yake alipita maeneo nnayofanyia biashara alishangaa kuona biashara imekuwa kubwa mno
Na yule dem nae ameanza kutuma meseji...!!
Yan watu kama hawa hutakiw hata kuonana nao....acha past iwe past
Sent using Jamii Forums mobile app
Eehh itakuwa hivyo akili zao ndio zinavyo kuwaga , Sianaona hili Ni bwege tu [emoji16]wanawake bana Muda ndio kila kitu.
Nauliza, alikutafuta ili Mrudiane, ulee mimba ???? Au vipi ???
Kajikomoa vipi Sasa hapo !? Kwani alilazimishwa kutafunwa sialikubali mwenyewe!!! [emoji16]Si ndo zenu mnajiita mabaharia, kuwa umkomoe kumbe mtu anajikomoa mwnyw
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] spy sometimes tuwe wa-wazi Dada kazingua aiseeSasa hapo unachoshangaa kikubwa ni nini? Wewe uliemtafuna unajiona uko sawa ila yeye unamshangaa.
Mafurushi.
[emoji16][emoji16][emoji16]Mmmmh!!! Hukuwa na haja ya kujielezea sana kwasababu wewe ndiyo unajijua na ukizingatia humu tunatumia fake IDs..
[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji26]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji122]Kazi nzuri sana ameifanya mwamba! Kenge kama hao wasio na misimamo dawa yao ndio hio!