Wanawake ambao hawajaolewa huwa na hasira/frustration?

sioni thamani ya ndoa..

thamani ya ndoa ni kuheshimika kwa kutotongozwa hovyo..pia unakuwa na watoto wenye furaha kwa kuwa mama na baba wapo pa1. Cha mwisho, ukitaka kukunwa unakunwa anytime..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…