Hizi lugha zingine zinadhalilisha wadada....
Hizi lugha zingine zinadhalilisha wadada....
Umeconfirm vp?Ni kweli wapo, hata mie nimeconfirm tena kwa wawili sehemu/vyuo tofauti. Hivyo nakubaliana nawe kabisa. Wengi wao kinachowasaidia mpaka kufika vyuo vikuu ni misimamo na mazingira yao wakati wa sekondari. Big up kwa waliojitunza.
Ni kweli wapo, hata mie nimeconfirm tena kwa wawili sehemu/vyuo tofauti. Hivyo nakubaliana nawe kabisa. Wengi wao kinachowasaidia mpaka kufika vyuo vikuu ni misimamo na mazingira yao wakati wa sekondari. Big up kwa waliojitunza.
Hizi lugha zingine zinadhalilisha wadada....
wewe unayetest wasiotumika, mbona wewe unazidi kutumika tuu? kwa nini na wewe wa dada wasikukimbie wakasema umetumika sana? huyo unayemsifia tayari ushamharibu sasa akija mwingine atalalamika hajakuta sealed kumbe umetumia.
Duh kwa hiyo umeshamwaribu mdada wa watu
Sasa umetest vipi? Sijakulewa.
Ni kweli wapo, hata mie nimeconfirm tena kwa wawili sehemu/vyuo tofauti. Hivyo nakubaliana nawe kabisa. Wengi wao kinachowasaidia mpaka kufika vyuo vikuu ni misimamo na mazingira yao wakati wa sekondari. Big up kwa waliojitunza.
Bahati mbaya utaalamu wangu kwenye ku-quote ni mdogo.<br />
Ila nimeeleza vizuri kwenye post #1 hasa ule mstari wa kwanza maneno ya mwanzo mwanzo.
Kuna kama 400 wanatakiwa huko kwa Mswati...Soo..tuna soko zuri tuu hapo kwa mswatii...nitaiambia wizara husika ikawatafutie ajira huko swaziland