Anayetaka kujua nimejuaje basi ani-PM lakini amini nawaambieni nimeshuhudia mwenyewe kwa "macho" yangu na si kuhadithiwa.
Ni kweli wapo tena wengi tu, mi mwenyewe sikuamini lakini ukweli ndo huo.
Hivyo wale wote ambao huwa wanawaghasi hawa wenzetu kwa mawazo ambayo ni kinyume na hiki nilichoshuhudia mimi, waache mara moja.
Nasisitiza wapo, wapo, wapo....., tena wengi tu. Ukiamua ku-search huwezi kosa. Cha muhimu ni kuepuka papara, kuwa na subira, nia njema, busara na nidhamu ya hali ya juu.
Note:
Nime-confirm mwenyewe kuwa sio "temporarily renewed".