Mzalendo Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 735
- 191
Ndugu wana Jamii. Nchi hii wanawake wamekuwa wakipiga kelele sana kudai haki zao. Kuna wakati viongozi wanawasikia lakini huwapa haki zao kama fadhira.
Tumeshuhudia wakipewa fadhila ya viti maalum kupita Vijana na UWT. Mtoaji wa nafasi hizi huonekana ni shujaa na mwenye mapenzi kwa wanawake kumbe ni utapeli tu.
Ukombozi pekee kwa akina mama na wanawake ni KATIBA MPYA. Nafasi za ubunge ziko wazi na ni nyingi kuliko hizi za hutuma. Wanawake mnatakiwa kufanya kitu kimoja tu: PIGANIA SERIKALI TATU kama ilivyopendekeza tume ya Warioba.
Wanawake wa Tanzania amkeni semeni TUNATAKA SERIKALI TATU. semeni TUNATAKA WABUNGE 50% kama ilivyo kwenye rasimu ya katiba. Amka mwanamke. Semeni Serikali Tatu!