Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Mimi ilinitokea shuleni, enzi hizo shule ya bweni wasichana, mdada mmoja alikuwa anapenda sana kuvaa suruali na kutembea kiume. Alikuwa form four nikiwa form one, mara nikaona mazoea na upendo umezidi sana, mizawadi na kusaidiwa kazi zangu hadi raha. Kutahamaki anaanza mazoea ya kunipapasa, weee. Nilistuka na jicho nililomtupia ilikuwa onyo mwanzo na mwisho
 
ila dar slam bana bas tu nahic ndio jkon kwa shetan.. Mchiz tulkua tunawasiliana fresh tu nkamwambia cku flan nakuja town akaniambia poa usiwaze usfkie lodge njoo kwangu naacha funguo m nasafr naenda zanzbar kama siku 4 ila usiondoke mpka nije na nitakuelekeza nkaona fresh mwana kansave garama za lodge kwa sku ntakazo kaa dar ile nmefka boda wake kanpokea nkakbziwa funguo Taizng la kwanza naingia kwa huyu jamaa asee n pasafi kama anadekiaga maji ya moto nkajsemea labda ameoa nkazama rum maisha yakaanza movie zake kwenye external czielew nying za kfaransa af za ma lesbian na magay mara ma modo kwenye cofee table kuna bangi pombe kal za kila aina nkajua apa kwel kwa rasta nkaita na ka dem kangu nkakatafuta mana stim zote zko available ila care nayopatiwa na mwana akiwa sio ya kawaida mara naletewa ktmoto na yule boda kua hii n oder yako kla nnachotaka napata cjui haya majamaa yanatoaga wap hela nkamwambia babu jmos m nasepa aah usiondoke fanya jtatu mana jpil nakuja nkasema poa, mwamba c akafka na vzawad vyake kama nandy vile apo cjaelewa ktu tukaanza tungi kula tung imefka sa saba nyt mwamba ananiambia tukaoge tulale nkamwambia m n l beberu nalala iv iv bila kuoga nko tung ntaoga kesho kaenda kuoga m nkaptiwa usngiz apo seblen ebwana yule mwamba kama saa nane tisa iv nahic kama mtu ananshka mashine iv ile kufumbua macho mwamba yuko naked amelainika kama kafiwa na bibi yake nkamuulza vp babu anasema plzz naomba un https://jamii.app/JFUserGuide ver hard thas y nlkwambia nsubr nakuja.. iv unapata wap nguvu za kudindsha kwenye tako gumu vile la mwana mara awashe bangi anipe just smok ue sawa plzzz dah uo usku ulkua kama usku wa deni nljuta kufkia apo
 

Ulikula?
Na ukila huachiii
 
Biashara matangazo,wewe ni mulemule
 
2015 niliwahi tokewa na guy mtanashati na kunieleza juu ya kunitaka kuwa mpenz wake kwa maana ya kuwa me niwe namla mzgo.

Kitu ambacho kwangu kilinipa changamoto na kmtukana huyo kaka. But haikuishia hapo baada ya huyo zikawa zinaingia namba tofaut kutoka kwa wavulana(wanaume) kunitaka me niwe bwana wao.

Ilifika kipindi nikawa najishangaa sana nikahisi pengne nina majini ya kutakwa na wanaume wenzang kitu ambacho kili nitesa sana. Ilinilazimu kushirikisha baadhi ya marfik zang juu ya hilo swala na nikajikuta nimepata elimu kupitia watu hao.

2017 alitokea mpangaji aliekuwa karibu na mazingira ya nyumbani, akanizoea ghfra na kuwa mkalimu sana kwangu kitu, nilihisi kuwa nimepata rfk mpya na mwenye utu, kwan kwa mda mfupi alionesha kinijali hata baadhi ya shida zangu akawa ananisaidia nikimueleza.

Siku moja aliomba tutoke kwenda club kwa kigezo cha kutaka reflesh mind , ndio siku pekee aliyoweza pata ujasiri wa kunitamkia juu ya kuwa yeye ni nan na alkuwa anahitaji nini kwangu.

Wakt huo tayari ninaelimu juu ya viumbe hao hivyo haikunipa shida nilchkua jukumu la kumpanga kuwa leo haitowezekana kwa maana nitam,,, f*c siku nyingne.

Baada ya kurud home nilikata mazoa na kimya kimya mpaka sasa.
 
Huu mwandiko kama wa kike
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].huyo jamaa ukimuona anafanania kuwa shoga?
 
Hivi wakuu .......kuna uhusiano gani ...kati ya wapiga GYM na ushoga [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] coz nliwah tafutwa sana na hao watu baada ya kupost picha yangu fb since mm ni mtu wa mazoez
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…