Wanawake baadhi wana mikosi ukikutana nao nyota yako ya hela inapotea

2005-2010 JAKAYA M. KIKWETE
2010-2015 JAKAYA M. KIKWETE
2015/2016-2000 JOHN P. MAGUFULI
2021-->>> SAMIA SULUHU HASSAN


Jibu la matatizo yako lipo hapo na SI Imani za kishirikina. Sera za uchumi na maamuzi ya kiuchumi ya viongozi unaowapigia kura huwa na athari za Moja kwa Moja au vinginevyo kwenye maisha yako.
 
Sina uelewa sana wa hayo mambo ila Kuna manzi Moja ya kimeru alinambia yy akidate na mtu lazima huyo mtu afanikiwe na akifanikiwa yy anapigwa chini.....akadate na jamaa Moja kama zali Jamaa akanunua kiwanja kina mjengo haujamilika akafanya finishing Baada ya mda akampiga chini manzi
 
IPO mzee, wengine Wana kismati, wengine ndo kibarutišŸ¤“.
 
Kuna ukweli hapa Dah I'm finished
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…