Wanawake badilikeni!

Wanawake badilikeni!

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
I love women..!

Wanawake ni sehemu kubwa ya jamii yetu,ni mama zetu,dada zetu n.k, lakini kwa hili la kukaa vibalazani na kupiga umbea no no no i don't like it!
Kuna vitu vingi vya kufanya ni muda wa kubadilika sasa,chukua kitabu chako chenye maarifa kedekede soma,umiza kichwa chako kuitunza familia yako.
Waza nini ufanye..?
Poteza udhaifu ktk familia yako.

Me nashangaa unakuta wanawake wamekaa wakipiga soga lkn hakuna la kuelimishana hata moja..!
Siwatukani,but let me speak you can get something...

Fikiri,fikiri,fikiri... Usiache lipite jua unaumuhimu mkubwa ktk jamii mawazo yako yanahitajika...
Kipi kinakusaidia kujaji fulani kavaa nini..?
Kumbuka viongozi,matajiri,madaktari,rubani,genius n.k wote hawa wanatoka kwenu! Weledi wa mama ni furaha kwa familia..
Stop stop.... Stop it makes you to go down.

I LOVE WOMEN.
 
naaaaaam wamekusikia wabeijing ngoja waje na counter attack ya hiyo hoja yako!
 
Wanawake tuna maneno sanaa,sijui Mungu wakati anatuumba alifikiria nini hadi tushawaambukiza na wanaume
 
mkizubaa swala hili litawafunga na kuwa kifungo kwenu,kinachoniuma zaidi linalithiwa kizazi hadi kizazi
 
Hahaaaa.... Mmavuvuzela... Hii sio kwa wanawaje tuu anza wewe mkeo asiwe tu mama wa nyumbani mpe kibarua.... Hata kama ni hapo nyumbani mfano kufuga kuku..kuuza mkaa etc. Kwa binti yako fanya hivyo pia.... Kwa mama yako Na shangaz nae usimuache.. Ukifanya hivyo na mwingine nae akifanya hivyo jamii itakomboleka...
 
Lakinn...... Huko vibarazani ndiko wanajifunzia maujanja na viuno feni??? Sindo mnapendaga ama??
 
dah! wanawake ni balaa sana

nakumbuka zamani wakati nipo tanga wanawake wanapiga zoga saa moja asubuhi unawakuta vibarazani

sasa najiuliza hivi wanakua hawajaolewa au vipi?
 
I love women..!

Wanawake ni sehemu kubwa ya jamii yetu,ni mama zetu,dada zetu n.k, lakini kwa hili la kukaa vibalazani na kupiga umbea no no no i don't like it!
Kuna vitu vingi vya kufanya ni muda wa kubadilika sasa,chukua kitabu chako chenye maarifa kedekede soma,umiza kichwa chako kuitunza familia yako.
Waza nini ufanye..?
Poteza udhaifu ktk familia yako.

Me nashangaa unakuta wanawake wamekaa wakipiga soga lkn hakuna la kuelimishana hata moja..!
Siwatukani,but let me speak you can get something...

Fikiri,fikiri,fikiri... Usiache lipite jua unaumuhimu mkubwa ktk jamii mawazo yako yanahitajika...
Kipi kinakusaidia kujaji fulani kavaa nini..?
Kumbuka viongozi,matajiri,madaktari,rubani,genius n.k wote hawa wanatoka kwenu! Weledi wa mama ni furaha kwa familia..
Stop stop.... Stop it makes you to go down.

I LOVE WOMEN.
nadhani ungesema WATANZANIA tubadilike...... wote wake kwa waume tuna tabia za hizo ulizotaja hapo juu
 
Lakinn...... Huko vibarazani ndiko wanajifunzia maujanja na viuno feni??? Sindo mnapendaga ama??
Ndo iwachukulie mda mrefu kiasi hicho kama mnataka anzisheni mashule ya kufundishia na muwe na muda maalum.
 
Back
Top Bottom