Hahahaha pole sana mkuu, huyu mkeo atakuwa ni mama wa nyumbani huko uswahili wanaosifia elimu toka kwa magufuri.Unaweza ukakopa pesa ya ada ya mtoto, ukampa mkeo ili akalipe kisha ye anakwenda kununua wigi. Akili zao wanzijua wenyewe tu.
Ahahahahh umeua mkuundo madhara ya kujiolea tu,umeona kalio unatangaza ndoa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ndo madhara ya kujiolea tu,umeona kalio unatangaza ndoa