Wanawake bana

Wanawake bana

Pyepyepye

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2017
Posts
1,940
Reaction score
3,834
Unaweza ukakopa pesa ya ada ya mtoto, ukampa mkeo ili akalipe kisha ye anakwenda kununua wigi. Akili zao wanzijua wenyewe tu.
 
Mmmmm huyo wako kimeo kaka. Kumbuka hâta wanaume wanaonywea pomme ada.......... Jibu wapooooo. In Ney's voice
 
wanaume wanaotuoa/kuzaa na sisi au kututuma nao bwana? Akili zao wazijua wenyewe
Wanawake hatufanani lakini pia ni vema ukajifunza mwanamke uliye naye uwezo wake wakufanya maamuzi ukoje uepushe shari
 
Unaweza ukakopa pesa ya ada ya mtoto, ukampa mkeo ili akalipe kisha ye anakwenda kununua wigi. Akili zao wanzijua wenyewe tu.
Hahahaha pole sana mkuu, huyu mkeo atakuwa ni mama wa nyumbani huko uswahili wanaosifia elimu toka kwa magufuri.

Anahisi unaharibu pesa kwenda kulipa ada wakati elimu ni bure.
 
Tofauti ya kuhesabu kati ya ke na me ni:
Me 1-2-3
Ke 1-3-2
 
Kama unajua anaenda kununua mawigi ulimpa ya non,kwa nini usingeenda lipa mwenyewe??? Labda alienda kulipa ada dukani
 
Hakuna mwanamke wa kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom