Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
Mzee wa 3some😂😂Mwanamke ni kutongoza tuu....weee tongkza tuu hamna urafiki wa simba na swala
Sijalata hiyo kitu siku mingi....ngoja nimcheki Evelyn Salt labda hii wikend yupo availableMzee wa 3some😂😂
Aikoo.. Punani makes the world go around .. Never underestimate power of pussy 😻😺😻😏😏😏Kila mara kuwataja humu ndani mnawaoverate sana.
Mwanga Lutila wewe si ulioa mwaka wa juzi kati,? Vipi Tena unatamani vya wengine?Yaani hamueleweki ..
Ndo maana mtu anaona bora akutongoze tu na ukaribu ufe..
Kuliko kuanza kuwaambia wanawake wenzio..''aha kwani yule mwanaume basi ..hamna kitu pale "
Kumbe mwenzio hajakutongoza kaamua kukupuuza tu..
Wanaosema hakuna urafiki wa mwanamke na mwanaume wako sahihi..
Ukiwa nae karibu tabu, usipomtongoza tabu.
Dahhhh....Aikoo.. Punani makes the world go around .. Never underestimate power of pussy 😻😺😻😏😏😏
Siku nyingine mje na uzi wa kutupongeza kwa mazuri yetu.Yaani hamueleweki ..
Ndo maana mtu anaona bora akutongoze tu na ukaribu ufe..
Kuliko kuanza kuwaambia wanawake wenzio..''aha kwani yule mwanaume basi ..hamna kitu pale "
Kumbe mwenzio hajakutongoza kaamua kukupuuza tu..
Wanaosema hakuna urafiki wa mwanamke na mwanaume wako sahihi..
Ukiwa nae karibu tabu, usipomtongoza tabu.
Mwanga Lutila wewe si ulioa mwaka wa juzi kati,? Vipi Tena unatamani vya wengine?
Yaani haya mafurushi eti hatuna mema kwao kabisa, kila siku kutunanga🙆♀️Siku nyingine mje na uzi wa kutupongeza kwa mazuri yetu.
Nabadili nguo nikukute platinum.😂😂Dahhhh....
Ukwapi nikununulie soda..🤣
😂😂😂Yaani haya mafurushi eti hatuna mema kwao kabisa, kila siku kutunanga🙆♀️
wanawake wa wapi hao ambao ukiwatongoza wanakununia, wanawake wa nyakati hizi ukichelewa kutongoza anakutongoza yeye. Mimi nilishaambiwa naomba nizae na wewe na mtu anajua nimeoa na sio tu kujua na mke naye anamfahamuYaani hamueleweki ..