Wanawake bhana! ukiwa nae karibu usipomtongoza anaanza kukudharau kukutangazia wewe ni hanithi , Ukimtongoza basi na urafiki ndo unakufa mazima

Yaani hamueleweki ..

Ndo maana mtu anaona bora akutongoze tu na ukaribu ufe..

Kuliko kuanza kuwaambia wanawake wenzio..''aha kwani yule mwanaume basi ..hamna kitu pale "

Kumbe mwenzio hajakutongoza kaamua kukupuuza tu..

Wanaosema hakuna urafiki wa mwanamke na mwanaume wako sahihi..

Ukiwa nae karibu tabu, usipomtongoza tabu.
Utakuwa hanithi wa roho😂
Bado unaishi wanavyotaka watu?

Ishi maishi yako
 
Tatiza hata wanaume wenyewe hamtabiliki kuna jamaa tulikuwa tumezoeana sana akija kazini kwetu utani mwingi ananiita baby nami namwitikia nikijua ni utani tu. sasa jamaa kaamua kunitongoza kwanza alijaribu kuwa karibu na mwanangu akijua mimi single mom sasa nilivyomkataa jamaa kaninunia mimi, wafanyakazi wenzangu mpaka mtoto.
 
Kwanini umkatalie mkaka wa watu sasa kuwa na huruma ametanguliza bebi kabisa
 
Tatiza hata wanaume wenyewe hamtabiliki kuna jamaa tulikuwa tumezoeana sana akija kazini kwetu utani mwingi ananiita baby nami namwitikia nikijua ni utani tu. sasa jamaa kaamua kunitongoza kwanza alijaribu kuwa karibu na mwanangu akijua mimi single mom sasa nilivyomkataa jamaa kaninunia mimi, wafanyakazi wenzangu mpaka mtoto.
Duh utakuwa ulikula vyake vingi akijua utamkubali
 
Nielekeze ulipo nianze safari ya kupanda milima yote niogelee bahari zote nije nikueleze ni jinsi gani umeuteka moyo wangu
Maneno yenu hayo 😅😅mnakuja kuwaacha watu Single Mother 😜😜😜
 
Back
Top Bottom