Wanawake bhana! ukiwa nae karibu usipomtongoza anaanza kukudharau kukutangazia wewe ni hanithi , Ukimtongoza basi na urafiki ndo unakufa mazima

Utakuwa hanithi wa rohoπŸ˜‚
Bado unaishi wanavyotaka watu?

Ishi maishi yako
 
Tatiza hata wanaume wenyewe hamtabiliki kuna jamaa tulikuwa tumezoeana sana akija kazini kwetu utani mwingi ananiita baby nami namwitikia nikijua ni utani tu. sasa jamaa kaamua kunitongoza kwanza alijaribu kuwa karibu na mwanangu akijua mimi single mom sasa nilivyomkataa jamaa kaninunia mimi, wafanyakazi wenzangu mpaka mtoto.
 
Kwanini umkatalie mkaka wa watu sasa kuwa na huruma ametanguliza bebi kabisa
 
Duh utakuwa ulikula vyake vingi akijua utamkubali
 
Sasa na wewe unakuaje na urafiki na mwanamke bila kumtongoza? Ni dada yako?
Mwanaume hata ukiona mti na matawi yake umevalishwa sketi utongoze
Unatumia kinywaji gani?
 
Nielekeze ulipo nianze safari ya kupanda milima yote niogelee bahari zote nije nikueleze ni jinsi gani umeuteka moyo wangu
Maneno yenu hayo πŸ˜…πŸ˜…mnakuja kuwaacha watu Single Mother 😜😜😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…