Wanawake Bhana!

Sio budget Kali,Bali ni hiyo tariff tanesco walivyoweka .Nikikosea matumizi,umeme ambao ningenunua kwa 9,500/- nitanunua kwa elfu 30.Na hapa kijijini tuko kwa muda.Huyo mtunzaji wa hii nyumba tukiondoka yeye anawasha taa tu.Sasa huoni kwamba tutakuwa tumevuruga mfumo mzima wa matumizi ya umeme kwa uzembe.Mkuu mama Sabrina
 
Nikiwa mdogo nilikuwa namwona dingi ni mnoko, anamaindi vitu vidogo, mfano akikuta maji kwenye bomba yamemwagika sana anamaindi, mkaa ukitumika halafu ukaachwa ukiwa bado mwingi kuelekea majivu anamind, akikuta kuna taa haijazimwa anamaindi.

Ukipikwa ugali mkubwa ambao hatuwezi kuumaliza anamaindi, yaani dah.

Siku hizi najiona nimeshakuwa kama yeye, ndo ninaelewa kwa nini alikuwa anamind.

Mkuu nenda naye taratibu ataelewa tu, ila kama anaona ni rahisi kwake kutumia kuni mkaushie, akichoka atajirudi, fanya kama huelewi.

Kwa usawa huu wa Magu la gesi linatakiwa kuwa la maonyesho tu.
 
Hapo msifie sn mwambie mke wangu kila siku uwe unapika hivihivi kama alifanya makusudi atanadilika mwnyw
 
Nimekuelewa mkuu.Ila Jiko la maranda ya mbao ni zuri sana halafu halina gharama,Ila linatumika kwa vitu vinavyoiva kwa muda mrefu,halitoi moshi.Ukiwasha SAA 12 aubuhi mpaka SAA 6 mchana linawaka na moto mkali,anajua kulitumia Ila Leo kaamua tu kufanya vitimbi!
 

Piga kimya, ukifika nyumbani tafuta jinsi ya kufanya disconnection ya umeme kuelekea kwenye jiko bila yeye kujua. Hakikisha halifanyi kazi, maana kitakachofata ni yeye kulitumia ukiwa haupo kama kukomoa.

Mambo mengine yaache yaendelee hivyo hivyo. Akichoka kupikia kuni atatafuta urahisi.

Kitu muhimu jiko la umeme ulifanyie uharibifu kimya kimya. Nazijua akili zao hawa watu, ataliwasha ukiwa haupo.
 
Duuhh jiko zote za nini kaka...hapo ni kumnyanyasa mke kisaikilojia...
Kama kuna la umeme..la gesi la mkaa..hayo mengine ya nini..
Mi nadhani tatzo lipo kwako

Sent using Xiom X
 
Mimi ndio nimeunganisha hilo jiko la umeme kurahisisha mambo lakini kwa masharti hayo niliyompa.Manake halikuwa na plug,kwa hiyo nimechomeka wire moja kwa moja kwenye socket!
 
Duuhh jiko zote za nini kaka...hapo ni kumnyanyasa mke kisaikilojia...
Kama kuna la umeme..la gesi la mkaa..hayo mengine ya nini..
Mi nadhani tatzo lipo kwako

Sent using Xiom X
Huku ni kijijini mkuu hayo majiko mengine ni kawaida kutumika.Kwa taarifa yako jiko la maranda ya mbao ni bora kuliko jiko la mkaa.Tena matumizi yake yanahifadhi mazingira,hata serikali inapromote matumizi yake sana tu,kwa ajili ya kuhifadhi mazingira,kupunguza kukata miti kwa ajili ya mkaa!
 
Mkuu naomba picha ya hilo jiko la maranda na yanavyokuwa... sijawahi kuona.
 
Mimi ndio nimeunganisha hilo jiko la umeme kurahisisha mambo lakini kwa masharti hayo niliyompa.Manake halikuwa na plug,kwa hiyo nimechomeka wire moja kwa moja kwenye socket!

Toa huo wire, na lisitumike kabisa.

Ushauri wangu umeishia hapa.

Ila pia akili za kuambiwa changanya na zako.
 
Asante kwa maarifa mapya mkuu Pr cure.
 
Mkuu naomba picha ya hilo jiko la maranda na yanavyokuwa... sijawahi kuona.
Ningekutumia picha mkuu Ila JF wanasema site iko kwenye matengenezo.Najaribu KuUpload files haikubali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…