Nikiwa mdogo nilikuwa namwona dingi ni mnoko, anamaindi vitu vidogo, mfano akikuta maji kwenye bomba yamemwagika sana anamaindi, mkaa ukitumika halafu ukaachwa ukiwa bado mwingi kuelekea majivu anamind, akikuta kuna taa haijazimwa anamaindi.
Ukipikwa ugali mkubwa ambao hatuwezi kuumaliza anamaindi, yaani dah.
Siku hizi najiona nimeshakuwa kama yeye, ndo ninaelewa kwa nini alikuwa anamind.
Mkuu nenda naye taratibu ataelewa tu, ila kama anaona ni rahisi kwake kutumia kuni mkaushie, akichoka atajirudi, fanya kama huelewi.
Kwa usawa huu wa Magu la gesi linatakiwa kuwa la maonyesho tu.