Wanawake Bhana!

Mwanaume ukifuatilia vitu vidogo vidogo ndio matokeo yake. Mleta mada usije ukawa unahesabu hadi nyama jikoni.
Sijafuatilia mambo ya jikoni Bali nafuatilia matumizi ya umeme kwa ujumla ambako ,jiko la umeme nalo limehusika mkuu mama K.
 
Duh..shikamoo mkuu

Hiyo 95 nina miaka minne

Miaka 86 ya baba ako hata bibi na babu yangu wadogo hapo

Heshima yako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Yna2,Longevity/maisha marefu ni mojawapo ya baraka za Mungu,ukimtumikia Mungu aliye hai ataziongeza siku za kuishi,imeandikwa,"
Nanyi mtamtumikia BWANA, Mungu wenu, naye atakibarikia chakula chako, na maji yako; nami nitakuondolea ugonjwa kati yako. Hapatakuwa na mwenye kuharibu mimba, wala aliye tasa, katika nchi yako; na hesabu ya siku zako nitaitimiza. "
KITABU CHA KUTOKA 23:25‭-‬26
Ni maombi yangu Mimi nifikishe miaka 100+
 
Utaambiwa"acha ubahili,unakuwa kama mpare bhana"

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hapo ulipo huenda hujui hata bei ya tofali ikoje.Huenda wewe bado kula kulala kwa baba.Hela yako sanasana ni ya na kuendea disko na kuhonga mademu,Nitolee maisha ya facebook hapa,mkuu Darmian
 
Amen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ka
Mimi kwani nisema hivyo mkuu??..angalia nimenukuu hiyo sentensi,sijamaanisha hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika maisha maskini Mara nyingi ndio wanakuwa wazembe kwenye kusimamia matumizi ya pesa kuliko matajiri.Ninachokifanya ni principals za kawaida kuachana na matumizi mabaya ya fedha na rasilimali
 
Kaka sikia nikuambie kwa maelezo yako tu inaonekana wewe ni mbabe sana hata katika vitu ambavyo hapastaili ubabe na mke wako umemfanya kama mtoto wako unamuongoza kwa kila kitu yaani hana ajualo ila wewe ndo wajua kila jambo, mke wako anajua fika hali ya maisha yenu anajua bajeti yenu naamini kama umemuelejeza vya kutosha hunabudi kuwa mkimya kwani ameshachoka na maelekezo yako ya kila siku kilichobaki ni kukomoana tu, just be quite at least for one week you will see the changes, ni maoni yangu bro nisieleweke tofaut

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Guessing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…