Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,971
- 13,608
- Thread starter
- #61
Sijafuatilia mambo ya jikoni Bali nafuatilia matumizi ya umeme kwa ujumla ambako ,jiko la umeme nalo limehusika mkuu mama K.Mwanaume ukifuatilia vitu vidogo vidogo ndio matokeo yake. Mleta mada usije ukawa unahesabu hadi nyama jikoni.