Wanawake bia ngumu wanakunywa, usiwalegezee wanakuona boya

Shinnok

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2019
Posts
236
Reaction score
564
Utakuta demu anajifanya anataka Serengeti lite au Heineken wakati kiuhalisia bia yake safari laga.

Mi kuna siku demu kaniomba nimnunulie bia kulaleki anayaka Castle Lite wakati mi mwenyewe nakunywa Plisna

Nilimnunulia moja alivyotaka nyingine nikamwambia hapa tutakunywa plisna na double kick Kama hutaki sepa.

Mbona alikunywa kulaleki.
 
Utakuta demu anajifanya anataka Serengeti lite au henken wakati kiuhalisia bia yake safari laga.

Mi Kuna siku demu kaniomba nimnunulie bia kulaleki anayaka castle lite wakati mi mwenyewe nakunywa plisna

Nilimnunulia moja alivyotaka nyingine nikamwambia hapa tutakunywa plisna na double kick Kama hutaki sepa.

Mbona alikunywa kulaleki.
Mwisho ukawaje
 
Kuna siku natoka mlangoni uhuru peak peak saa sita usiku ili nikapate mlo nje ili niendelee na kazi yangu, nikawakuta mademu wawili pale nje wanatia huruma hawana kiingilio. Unajua pale ikishafika night fulani unatoa 5000 ya kiingilio then unapewa bia 2.

Nikawauliza kwa hiyo nyie tatizo ni kiingilio ila hela ya kunywea bia mnayo? Nikaona wanatazamana tu.
Nikamwambia baunsa waruhusu waingie, 10,000 hii hapa ila hizo bia 4 za hiki kiingilio kaweke paleee mezani kwangu, hawa mchawi wao ni kiingilio tu hela ya bia wanayo.

Nilivyorudi wakaona meza yangu imechafuka safari tu. Nikasema anayetaka bia na aungane nami. wakasema tunakunya castle lite! nikawaambia kama ni hizo nunueni ila kama sfr njoni tunywe mpaka asubuhi.

Walizugazuga ila baadaye akaja mmoja mmoja ila ilivyofika asubuhi walikuwa wamezidiwa nikawabeba wote hadi maabara yangu.
 
Bia unatoa kwa mashart kwenye kula mzigo unataka ukojoe mpaka damu mpaka kifuko cha mbegu kibak kikavu
 
Kuna siku natoka mlangoni uhuru peak peak saa sita usiku ili nikapate mlo nje ili niendelee na kazi yangu, nikawakuta mademu wawili pale nje wanatia huruma hawana kiingilio. Unajua pale ikishafika night fulani unatoa 5000 ya kiingilio then unapewa bia 2.

Nikawauliza kwa hiyo nyie tatizo ni kiingilio ila hela ya kunywea bia mnayo? Nikaona wanatazamana tu.
Nikamwambia baunsa waruhusu waingie, 10,000 hii hapa ila hizo bia 4 za hiki kiingilio kaweke paleee mezani kwangu, hawa mchawi wao ni kiingilio tu hela ya bia wanayo.

Nilivyorudi wakaona meza yangu imechafuka safari tu. Nikasema anayetaka bia na aungane nami. wakasema tunakunya castle lite! nikawaambia kama ni hizo nunueni ila kama sfr njoni tunywe mpaka asubuhi. Walizugazuga ila baadaye akaja mmoja mmoja ila ilivyofika asubuhi walikuwa wamezidiwa nikawabeba wote hadi maabara yangu.
Unyama mwingiii🐐🐐🐐
 
Utakuta demu anajifanya anataka Serengeti lite au Heineken wakati kiuhalisia bia yake safari laga.

Mi kuna siku demu kaniomba nimnunulie bia kulaleki anayaka Castle Lite wakati mi mwenyewe nakunywa Plisna

Nilimnunulia moja alivyotaka nyingine nikamwambia hapa tutakunywa plisna na double kick Kama hutaki sepa.

Mbona alikunywa kulaleki.
Umasikini mbaya Sana [emoji22]
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kwahiyo kumbe mchawi safari mkuu
 
Utakuta demu anajifanya anataka Serengeti lite au Heineken wakati kiuhalisia bia yake safari laga.

Mi kuna siku demu kaniomba nimnunulie bia kulaleki anayaka Castle Lite wakati mi mwenyewe nakunywa Plisna

Nilimnunulia moja alivyotaka nyingine nikamwambia hapa tutakunywa plisna na double kick Kama hutaki sepa.

Mbona alikunywa kulaleki.
Duh..

Huyo sio demu ni takataka, demu anakunywaje dabo Kiki?
 
Back
Top Bottom