Nimnunulie nyama namuogopa?Mpaka double kick ,uyo ni noma,nyama ulimnunulia kweli
Mwisho ukawajeUtakuta demu anajifanya anataka Serengeti lite au henken wakati kiuhalisia bia yake safari laga.
Mi Kuna siku demu kaniomba nimnunulie bia kulaleki anayaka castle lite wakati mi mwenyewe nakunywa plisna
Nilimnunulia moja alivyotaka nyingine nikamwambia hapa tutakunywa plisna na double kick Kama hutaki sepa.
Mbona alikunywa kulaleki.
Mwisho ukawaje
Kavu kavu🤔Pumbu tu chooni nikamkimbia
Usifananishe ulanzi na vitu vya kijingaWanakunywa mpk ulanzi sembuse pilsner
HahahahaWanakunywa mpk ulanzi sembuse pilsner
Unyama mwingiii🐐🐐🐐Kuna siku natoka mlangoni uhuru peak peak saa sita usiku ili nikapate mlo nje ili niendelee na kazi yangu, nikawakuta mademu wawili pale nje wanatia huruma hawana kiingilio. Unajua pale ikishafika night fulani unatoa 5000 ya kiingilio then unapewa bia 2.
Nikawauliza kwa hiyo nyie tatizo ni kiingilio ila hela ya kunywea bia mnayo? Nikaona wanatazamana tu.
Nikamwambia baunsa waruhusu waingie, 10,000 hii hapa ila hizo bia 4 za hiki kiingilio kaweke paleee mezani kwangu, hawa mchawi wao ni kiingilio tu hela ya bia wanayo.
Nilivyorudi wakaona meza yangu imechafuka safari tu. Nikasema anayetaka bia na aungane nami. wakasema tunakunya castle lite! nikawaambia kama ni hizo nunueni ila kama sfr njoni tunywe mpaka asubuhi. Walizugazuga ila baadaye akaja mmoja mmoja ila ilivyofika asubuhi walikuwa wamezidiwa nikawabeba wote hadi maabara yangu.
Umasikini mbaya Sana [emoji22]Utakuta demu anajifanya anataka Serengeti lite au Heineken wakati kiuhalisia bia yake safari laga.
Mi kuna siku demu kaniomba nimnunulie bia kulaleki anayaka Castle Lite wakati mi mwenyewe nakunywa Plisna
Nilimnunulia moja alivyotaka nyingine nikamwambia hapa tutakunywa plisna na double kick Kama hutaki sepa.
Mbona alikunywa kulaleki.
[emoji1787]Usifananishe ulanzi na vitu vya kijinga
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kwahiyo kumbe mchawi safari mkuuKuna siku natoka mlangoni uhuru peak peak saa sita usiku ili nikapate mlo nje ili niendelee na kazi yangu, nikawakuta mademu wawili pale nje wanatia huruma hawana kiingilio. Unajua pale ikishafika night fulani unatoa 5000 ya kiingilio then unapewa bia 2.
Nikawauliza kwa hiyo nyie tatizo ni kiingilio ila hela ya kunywea bia mnayo? Nikaona wanatazamana tu.
Nikamwambia baunsa waruhusu waingie, 10,000 hii hapa ila hizo bia 4 za hiki kiingilio kaweke paleee mezani kwangu, hawa mchawi wao ni kiingilio tu hela ya bia wanayo.
Nilivyorudi wakaona meza yangu imechafuka safari tu. Nikasema anayetaka bia na aungane nami. wakasema tunakunya castle lite! nikawaambia kama ni hizo nunueni ila kama sfr njoni tunywe mpaka asubuhi. Walizugazuga ila baadaye akaja mmoja mmoja ila ilivyofika asubuhi walikuwa wamezidiwa nikawabeba wote hadi maabara yangu.
Duh..Utakuta demu anajifanya anataka Serengeti lite au Heineken wakati kiuhalisia bia yake safari laga.