Wanawake bwana ni shida kweli

Wanawake wengi ndo walivyo hata kama c demu wako ukimsaidia anajitamba eti we ni boya flan hv umejichanganya. Ila nikuwavumilia tu ni dada zetu
 
Nawasaidia mara nyingi tu, tena c mara 1
Kwa mfano kuna mwanachuo mmoja amejifafanua kua hayuko poa kiuchumi hivyo nimuwezeshe angalau breakfast for severe days. Cha ajabu nasikia eti anasema mm ni mlugaluga najipendekeza kwake.
 
1. Kumbuka ni mama zetu + Dada zetu pia.

2. Chagua moja kati ya majina hayo utakalolitumikia.

3. Ukishindwa hayo yote, kachukue wanaojiuza ili uyaepuke hayo majina.

4. Suruhisho la mwisho kwako ni kuoa tu. Ili uwe na mke wako.
Omba tu usiangukie pabaya

5.Yote ukiona hayafai, achana na wanawake kabisa.

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…